Akili unde (AI) itasaidia kuongeza ajira au itachukua nafasi ya binadamu?

Akili unde (AI) itasaidia kuongeza ajira au itachukua nafasi ya binadamu?

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Teknolojia ya akili unde (AI) imeendelea kutumika katika maeneo mbalimbali kama elimu, uandishi wa habari, biashara, ubunifu na huduma kwa wateja.

wapo wanaoona akili unde inarahisisha kazi na kuongeza ufanisi, huku wengine wakihofia kwamba matumizi yake yanaweza kupunguza baadhi ya nafasi za ajira.

Soma zaidi:AI imekuwa tishio kwao wakati wameunda wenyewe

Vipi kuhusu mtazamo wako je akili unde (AI) ni fursa au tishio kwa ajira za kizazi cha sasa?

1786435817526.png
 
Back
Top Bottom