OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mkuu hii inaitwa in layman's language,shukrani nimekupata sana jinsi ubongo unavyofanya kazi,utunzaji wa kumbukumbu pamoja na namna ndoto zinavyotokea.
Ukilala circuit zinajizima na kujiwasha, ndoto ni thinking process inayotokea wakati circuit zinajizima na kujiwasha,Mkuu hii inaitwa in layman's language,shukrani nimekupata sana jinsi ubongo unavyofanya kazi,utunzaji wa kumbukumbu pamoja na namna ndoto zinavyotokea.
Je,kwa tunaosahau ndoto zetu tatizo linakuwa wapi hasa chief?
Nikikuambia kuwa mimi sio daktari bali nasoma tu vitabu mbali mbali utakubali au utakataa?Kuanzia leo wewe ndio utakuwa jf doctor kwenye suala la ubongo.
Unajua kuelewesha mkuu.
Walimaliza je na mgonjwa wake?Baadaye kuna daktari mmoja mtaalamu wa Neuroscience alimfanyia mtu upasuaji wa ubongo ili kuondoa uvimbe, alifanya upasuaji akamaliza akamruhusu mgonjwa aende nyumbani, baada ya siku kadhaa mgonjwa akarudishwa hospitali akilalamika kuwa anapoteza kumbu kumbu hawezi kukumbuka matukio ya miaka ya nyuma na amewasahau mpaka watoto wake,
Ndipo hapo huyo daktari akanga'mua kuwa kumbu kumbu huhifadhiwa kwenye sehemu ya ubongo wa kati sehemu aliyoiondoa wakati wa upasuaji ndiyo hiyo inayohusika na kumbukumbu, baada ya ugunduzi huo wakaona kuwa akili na kumbu kumbu zote zipo kwenye ubongo ambapo ni sehemu ya mwili wa binadamu kwa hiyo wakawa wame m proof wrong bwana RENE DISCARTE na duality theory yake aliyokuwa akidai akili inapatikana nje ya mwili wa binadamu
Haitajalisha kama ni daktari au la,cha singi unauelewa wa kutosha kumaliza udadisi woteNikikuambia kuwa mimi sio daktari bali nasoma tu vitabu mbali mbali utakubali au utakataa?
Tatizo watu hatupendi kudadisi vitu vidogo vidogo, wenzetu wazungu kila kitu huwa wanapenda kukitolea maelezo, mfano sasa hivi wanahangaika kuielewa sayari ya Mars, lakini wabongo ukiwauliza watakuambia inatusaidiaje sisi kwenye maisha.
Jee yule mchungaji aloota mtu akishuut polisi kadhaa?Ukilala circuit zinajizima na kujiwasha, ndoto ni thinking process inayotokea wakati circuit zinajizima na kujiwasha,
Sasa mkuu utakumbukaje kitu ambacho wakati umelala circuit zilikuwa zinajizima na kujiwasha???
Kimsingi ndoto ni uselles usizitilie maanani sana, watu hawaelewi ndoto ni nini ndio maana wana imani mbovu mbovu hakuna cha unabii wala kuoteshwa ni imani kama imani zingine
Kwanza kabisa tuyachambue maneno yakoJee yule mchungaji aloota mtu akishuut polisi kadhaa?
Mgonjwa aligeuzwa case stufy ya Taifa, malkia wa Uingereza alitoa kibaliWalimaliza je na mgonjwa wake?
Nenda Muhimbili kwenye MRI au CT Scan1: Je, Kuna uwezekano nikakaa sehemu nipate kuchunguza/observe namna ubongo wng unavoperfom various tasks? Whether theoritically or in practice.
Lengo hasa nipate kuona ule upimbi wa fikra au mawazo yanavokosa focus Mana natamani Ni archive maximum concentration but I failed to manage it.
Yaani kuna mambo bado huyaelewi aisee,2: Abt cognitive behavioral or conditioned reflex actions nlizipitia shuleni jujuu... Can I train my brain to perceive pains stimuli as pleasure!??
Kwa ku assumeMkuu LUCKDUBE .
Kuna mahali umeelezea kucheza draft by imagination, how can this be achieved?
Ulizeni maswali mapyaAsante kwa topic nzurii
Umefanunua vizurii ufanyaji kazi wa ubongo ni kama control tower ya mwili umeelezea vizurii meditation addiction kwenye madawa je kuna uwezekano wa kufanya ubongo ucommand uzalishwaji wa hormone Fulani mwiliUlizeni maswali mapya
Ina faida gani kwa afya ya akili?Kwa ku assume