OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
NdiyoUmefanunua vizurii ufanyaji kazi wa ubongo ni kama control tower ya mwili umeelezea vizurii meditation addiction kwenye madawa je kuna uwezekano wa kufanya ubongo ucommand uzalishwaji wa hormone Fulani mwili
Jinsi gani naweza kutrain ubongo wangu uwe na recalling capacity kubwa na long term memory unaweza kunipa hata tips ambazo naweza kutumiaNdiyo
Kinachofanyika ni kutafuta chemical inayofanana na hormone stimulating factor mchezo kwisha.
Kwanza inatakiwa uelewe maana ya LONG TERM MEMORY ni nini? Pili uelewe maana ya short term memory ni nini?Jinsi gani naweza kutrain ubongo wangu uwe na recalling capacity kubwa na long term memory unaweza kunipa hata tips ambazo naweza kutumia
Kimsingi ndoto ni uselles usizitilie maanani sana, watu hawaelewi ndoto ni nini ndio maana wana imani mbovu mbovu hakuna cha unabii wala kuoteshwa ni imani kama imani zingine
Yote sio majibu sahihi.Wewe ni mtaalamu wa ndoto (spiritual scientist) au ni medical scientist (doctor) ???
Soma vitabuJibu ni lipi??
Kwa mfano mimi nilitamani kujua Kwanini Ronaldo wakati anahutubia press chupa za cocacola huwekwa mezani, je zinanishawishi vipi mimi niliyeko huku Songwe ninunue COCA COLA, ktk kuanza kusoma nkajikuta nasoma mambo ya marketing, advertisement, psychology, emotions and needs, sleeping,Memory, cognitive neuroscience, placebo n.kKitabu chochote ??!!
Mkuu naomba nielimishe kidogo ni kwa vipi ubongo unabadilika shape na size.Kama umesoma una degree au masters ya taaluma flani maana yake kwenye ubongo wako kuna circuit nyingi zilizo active zenye kumbu kumbu ya ma presentation, ma lecture, na vitabu mbali mbali vya taaluma husika, wakati huo huo wewe ni shabiki wa Arsenal, Mzazi, mwanachama wa CCM/CHADEMA yaani una ma circuit mengi . Mkusanyiko wa circuits ndio unaunda identity zako mbali mbali. Hizi circuits zitakuwa active siku zote mpaka siku utakayokufa,
Kwa siku matukio ni mengi ubongo unachoka sana kurekodi, pia hauwezi kurekodi kila kitu hivyo basi kuna vitu vitakuwa deleted ili kuupunguzia ubongo kazi. Oxygen na energy inayotumika ni nyingi sana. Kulala ni njia mojawapo ya kuupumzisha ubongo.
NeuroplasticityMkuu naomba nielimishe kidogo ni kwa vipi ubongo unabadilika shape na size.
Niliwahi kusikia sehemu
Kwa mfano mimi nilitamani kujua Kwanini Ronaldo wakati anahutubia press chupa za cocacola huwekwa mezani, je zinanishawishi vipi mimi niliyeko huku Songwe ninunue COCA COLA, ktk kuanza kusoma nkajikuta nasoma mambo ya marketing, advertisement, psychology, emotions and needs, sleeping,Memory, cognitive neuroscience, placebo n.k
Mkuu naomba nielimishe kidogo ni kwa vipi ubongo unabadilika shape na size.
Niliwahi kusikia sehemu
umemaliza kila kitu mkuu sina cha kuongeza japo pia suala la duality bado lipo sana hasa tukija kwenye masuala ya kiimani na kidini ambapo mara nyingi huwa tunachukulia kuwa it's beyond science (science can't prove).Mkuu kasone uje umalizie uzi wako au kama vipi niulize maswali nikueleweshe
pia rejea andiko la bwana PAVLOV kuhusu conditioned reflex action utaelewa vizuri hayo mambo ya subconcious na consciousness
Be specific, don't beat about the bush, niambie ni kitabu au vitabu gani nikasome??!
Socrates alifikiria kuwa mind ni miunguumemaliza kila kitu mkuu sina cha kuongeza japo pia suala la duality bado lipo sana hasa tukija kwenye masuala ya kiimani na kidini ambapo mara nyingi huwa tunachukulia kuwa it's beyond science (science can't prove).
there is still so much more we don't know about our brains ila miaka inavyozidi kwenda mbele tutakuja kuvielewa zaidi au hata mtazamo ukaja kubadilika kabisaSocrates alifikiria kuwa mind ni miungu
Wafia dini ukianza kuwapa elimu huwa ni wabishi sana wanakomaa na DUALITY THEORY