Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

Nadhani wewe ndie umegeneralize kinyume na nilichofanya. Mimi nipo specific kwa kile nilichokisema kina watu ambao wapo kwenye jamii wanakifanya na wapo wengi tu.
 
Mimi sijui GPA ni lipata ngapi? Hu ni mwaka wa 18 na sioni uwezekano wowote wakukihitaji kwanza nikifanyishe kazi gani?
Ulienda chuo kufanya nn?
 
Kuja laki sio kwamba wana hizo mindset ulizoandika ila ni vile wanasaka fursa..

Ila changamoto yao kubwa ni kudharau mishahara wakati wao hawana hata pa kuanzia..
Fursa ya kufanyaje mzee? Yaani ulichosema ni sawa na kusema watu hawali ili kupambana na njaa, ila wanakula ili washibe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…