Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

Uzi wako ni mzuri lakini sio sana. Usipende kugeneralize. Hii ni tabia mbaya na haifai. Kwa kufanya hivyo uzi wako haujengi labda kwa wale open minded na kumbuka ni wachache. Sio kila mwanamke anapitia hizo ulizotaja japo wapo wengi. Jaribu kuheshimu baadhi ya wanawake ambao wanajitambua.
Nadhani wewe ndie umegeneralize kinyume na nilichofanya. Mimi nipo specific kwa kile nilichokisema kina watu ambao wapo kwenye jamii wanakifanya na wapo wengi tu.
 
Mimi sijui GPA ni lipata ngapi? Hu ni mwaka wa 18 na sioni uwezekano wowote wakukihitaji kwanza nikifanyishe kazi gani?
Ulienda chuo kufanya nn?
 
Kuja laki sio kwamba wana hizo mindset ulizoandika ila ni vile wanasaka fursa..

Ila changamoto yao kubwa ni kudharau mishahara wakati wao hawana hata pa kuanzia..
Fursa ya kufanyaje mzee? Yaani ulichosema ni sawa na kusema watu hawali ili kupambana na njaa, ila wanakula ili washibe.
 
Back
Top Bottom