maamuzi sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 288
- 165
- Thread starter
- #21
DooohKuna kiongozi mmoja alielezea hii kitu,kwamba iko makalioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DooohKuna kiongozi mmoja alielezea hii kitu,kwamba iko makalioni.
hili Ndiyo jibu sahihiAkili sio kitu ni matokeo ya ubongo kufanya kazi ndio maana tuna namna tofauti ya "akili' kwasababu tuna namna tofauti ya ubongo wa kila mmoja wetu kufikiri.....
Huwezi kutafuta mahali ambapo utapata makazi ya matokeo yoyote yale.....
Mfano mwendo wa gari ni matokeo ya injini kufanya kazi,je unaweza kuuliza mahali ambapo mwendo unakaa ndani ya gari?
Mfano mwingine ni moshi wa gari,moshi ni matokeo ya mafuta kuchomwa,lakini unaona moshi unatoka kwenye gari,je unaweza kuuliza mahali ambapo moshi unakaa kwenye gari?
Nadhani hilo haliwezekani kabisa,akili kama ilivyo mwendo au moshi wa kwenye gari au kuni sio vitu ili vihitaji mahali pa kuwepo bali ni matokeo ya jambo fulani.....
Akili bni matokeo ya ubongo kufanya kazi hivyo huwezi kuuliza mahali inaokuwepo......
Akili ya mwanadamu inakaa kwenye akili (penye akili).Salamu wakuu nimekua nikijiuliza swali hili kwa mda sasa bila kupata jibu sahihi,ila kwasababu humu kuna watu wenye uelewa mkubwa wa mambo zaidi yangu naomba mnisaidie akili ya mwanadamu inakaa wapi?
Teh teh!!aisee!!Akili ya mwanadamu inakaa kwenye akili (penye akili).
SURA YA UBONGO HUTOFAUTIANA, JINSI TUNAVYOTUNZA KIUNGO HIKI MIHIMU HUTOFAUTIANA PIA, KUKama ndivyo unasemaje kugusu IQ?
SURA YA UBONGO HUTOFAUTIANA, JINSI TUNAVYOTUNZA KIUNGO HIKI MIHIMU HUTOFAUTIANA PIA, KUKama ndivyo unasemaje kugusu IQ?
Mwe! makubwa hayo! ni kama kipindi kile mama Anna Abdallah akiwa waziri wa afya alisema dawa ya ukimwi kila mtu anayo, iko chini tumbo lako na katikati ya miguu yako😀Kuna kiongozi mmoja alielezea hii kitu,kwamba iko makalioni.
NJIA NIILEILE KINACHOSABABISHASURA YA AITO NISPIDI. MFANO UKIONA UGALI ITAKUA AUTO KWANGU KUUTAMBUA LAKINI SI WATU WOTE ITATOKEA AUTO KWENYE KUTAMBUAKazi ya akili ni kutatua matatizo mbalimbali yanayotuzunguka.ubongo ndo unaoratibu kila kitu kwa haraka wakati mwingine bila ww kujua wenyewe automatic unamaliza tatizo.mfano jicho huwa linajifunga lenyewe hatari ikitokea kabla ww hujaamua!!
Hahahahahaaa "AKILI NI UWEZO WA KUTUMIA KUMBUKUMBU' naweza kataa maana akili inaweza fanya jambo ambalo hujawahi kutana nalo hat siku moja na halipo kwenye kumbukumbuNINACHOFAHAMU MIMI AKILI NI NENO LAKUFIKILIKA LINALOELEZEA AU KUONESHA NAMNA MTU AU MNYAMA ANAVYOWEZA KUPAMBANA NA MAZINGIRA YAKE. KINACHOHIFADHIWA KWENYE UBONGO NI KUMBUKUMBU TUNAZOZIPATA KWA NJIA MBALIMBALI KAMA KUONA,KUSOMA, KUHISI N.K AKILI NI MATOKEO KUTUMIA KUMBUKUMBU ZILIZOHIFADHIWA KATIKA KUPAMBANA NA MAZINGIRA YETU. KWAHIYO HAKUNA KITU HARISI KINACHOITWA AKILI NDANI YA MWANADAMU AU MNYAMA NA MIFANO YA MANENO MENGINE KAMA AKILI NI ROHO, UPENDO, CHUKI N.K