Akili ya mwanadamu inakaa wapi?

hili Ndiyo jibu sahihi
 
Salamu wakuu nimekua nikijiuliza swali hili kwa mda sasa bila kupata jibu sahihi,ila kwasababu humu kuna watu wenye uelewa mkubwa wa mambo zaidi yangu naomba mnisaidie akili ya mwanadamu inakaa wapi?
Akili ya mwanadamu inakaa kwenye akili (penye akili).
 
Kama ndivyo unasemaje kugusu IQ?
SURA YA UBONGO HUTOFAUTIANA, JINSI TUNAVYOTUNZA KIUNGO HIKI MIHIMU HUTOFAUTIANA PIA, KU
MBUKUMBU TUNAZOPELEKA KWENYE UBONGO TUNAZIATA KWA NJIA TOFAUTITOFAUTI N.K. TOFAUTI HIZI HUPELEKEA UTOFAUTI WASPIDI WAKATI WA MATUMIZI YA KUMBUKUMBU ZILIZOIFADHIWA KWENYE UBONGO NINABYOFAHAMU IQ NI SPIDI NANAMNA UNAYOTUMIA KUMBUKUMBU ZILIZOIFADHIWAKWENYE UBONGO NACHO PIA SI KITU HALISI
Kama ndivyo unasemaje kugusu IQ?
SURA YA UBONGO HUTOFAUTIANA, JINSI TUNAVYOTUNZA KIUNGO HIKI MIHIMU HUTOFAUTIANA PIA, KU
MBUKUMBU TUNAZOPELEKA KWENYE UBONGO TUNAZIATA KWA NJIA TOFAUTITOFAUTI N.K. TOFAUTI HIZI HUPELEKEA UTOFAUTI WASPIDI WAKATI WA MATUMIZI YA KUMBUKUMBU ZILIZOIFADHIWA KWENYE UBONGO
 
Kazi ya akili ni kutatua matatizo mbalimbali yanayotuzunguka.ubongo ndo unaoratibu kila kitu kwa haraka wakati mwingine bila ww kujua wenyewe automatic unamaliza tatizo.mfano jicho huwa linajifunga lenyewe hatari ikitokea kabla ww hujaamua!!
 
Kuna kiongozi mmoja alielezea hii kitu,kwamba iko makalioni.
Mwe! makubwa hayo! ni kama kipindi kile mama Anna Abdallah akiwa waziri wa afya alisema dawa ya ukimwi kila mtu anayo, iko chini tumbo lako na katikati ya miguu yako😀
 
Kazi ya akili ni kutatua matatizo mbalimbali yanayotuzunguka.ubongo ndo unaoratibu kila kitu kwa haraka wakati mwingine bila ww kujua wenyewe automatic unamaliza tatizo.mfano jicho huwa linajifunga lenyewe hatari ikitokea kabla ww hujaamua!!
NJIA NIILEILE KINACHOSABABISHASURA YA AITO NISPIDI. MFANO UKIONA UGALI ITAKUA AUTO KWANGU KUUTAMBUA LAKINI SI WATU WOTE ITATOKEA AUTO KWENYE KUTAMBUA
 
Hahahahahaaa "AKILI NI UWEZO WA KUTUMIA KUMBUKUMBU' naweza kataa maana akili inaweza fanya jambo ambalo hujawahi kutana nalo hat siku moja na halipo kwenye kumbukumbu
Kumbuka kuna learning na memory pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…