Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
KwaniniHiyo Ndicho Nakupendea Mama[emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwaniniHiyo Ndicho Nakupendea Mama[emoji7]
sizan kama tumeelewa mada labda mi mtoa mada sijaelewekaUmeeleza ki neuroscience zaidi . Kisaikolojia mwanamke anaji identify na vitu vingi vidogo kwa vikubwa kuanzia viungo vyake, vitu anavyomiliki, watoto wake ndugu zake n.k ko ukiongelea in a negative way chochote ktk hivyo lazima ugomvi uibuke yeye anachotaka uongee in a positive way mfano ukimwambia anamacho mazuri, mtoto mzuri, simu nzuri, tabia nzuri utaona anafurahi au kukupa ushirikiano, pia mwanamke hua anaji identify na pesa za mwanaume ukimnyima ananuna as if pesa ni zake
Nakupenda Tu Unconditionally.Kwanini
Asante kusikia unanipendaNakupenda Tu Unconditionally.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wewe umeshindwa kutumia akili iliyojaa maji ya kijivu kuweka Aya kwenye bandiko lako????
😂😂 JamaniMkuu wewe umeshindwa kutumia akili iliyojaa maji ya kijivu kuweka Aya kwenye bandiko lako????