Akili ya Rais Kagame

Akili ya Rais Kagame

Hapa huwezi pata wale wachambuzi uchwara wa far right wa mutu mrefu. Ungeandika slim kapelekwa India kwa pressure wangejazana kama nzi kuchangia.
 
Rwanda kuna nidhamu ya hali ya juu. Huwezi kukuta mtu anavuta sigara hadharani kama ilivyo Tz licha ya kuwa na sheria inayokataza kufanya hivyo, nimekaa Rwanda sijawahi kusikia kitu kinachoitwa vibaka, Rwanda hakuna makelele kama bongo kuna sheria inazuia hilo na serikali iko strict, suala la usafi Rwanda ni la lazima ukitoka na basi huku sharti mpite Carwash lioshwe kwanza ling'ae ndipo muweze kuruhusiwa kuingia Kigali, suala la kodi Rwanda ni la lazima usishangae ukienda kununua matunda gengeni ukapewa risiti ya EFD, Rwanda mwananchi wa chini( mnyonge) anasikilizwa mno viongozi wanafikika kuelezwa shida na namba zao za simu ziko wazi kwa umma presidaa the late Magufuli alicopy kwa Kagame. In short hiyo nchi iko vizuri sana corruption rate iko chini mno mno hakuna mchezo, Rwanda hakuna machawa kama walivyo akina Mwijaku, Dotto magari,babalevo nk General Kagame hahitaji hayo
 
Rwanda kuna nidhamu ya hali ya juu. Huwezi kukuta mtu anavuta sigara hadharani kama ilivyo Tz licha ya kuwa na sheria inayokata kufanya hivyo, ukikaa Rwanda sijawahi kusikia kitu kinachoitwa vibaka, Rwanda hakuna makelele kama bongo kuna sheria inazuia hilo na serikali iko kali, suala la usafi Rwanda ni la lazima ukitoka na basi sharti mpite Carwash lio kwanza usiing'ae ndipo muweze kuruhusiwa kuingia Kigalienda ukapewa ununuzi wa kodi nchini Rwanda EFD, Rwanda mwananchi wa chini( mnyonge) anasikilizwa viongozi wengi wanafikika kuelezwa shida na namba zao za simu ziko wazi kwa umma presidaa marehemu Magufuli alicopy kwa Kagame. Kwa kifupi hiyo nchi iko vizuri sana corruption rate iko chini mno mno hakuna mchezo, Rwanda hakuna machawa kama walivyo akina Mwijaku, Dotto magari,babalevo nk General Kagame hahitaji hayo.
Yote Uliyoyaandika, hujataja maendelea waliyonayo, Unachotakiwa kujua Rwanda wanaishi chini ya fikra za mtu mmoja.
.
.Rwanda hakuna siasa, kuna serikali tu ikiamriwa leo watu wote walale saa moja usiku wote wanafuata, yaani Maisha ya rwanda hayapishani mbali na ya korea kasikazini, Wanafaidi ni wale wavijijini Wao wanajua Dunia yote ndivyo ilivyo.
 
KUTANA NA AKILI KUBWA YA RAIS KAGAME,ONE OF THE BEST PRESIDENT,THE DREAM OF AFRIKA.

Leo 13:30hrs 20/12/2022

Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa,Urusi,Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume chake na bahati mbaya pia maana tulimpata Rais John Magufuli aliyekuwa na ndoto ya kuifanya Tanzania kama Ulaya lakini akaondoka ghafla,mwaka 2001 kiwango cha umasikini kwa nchi ya Rwanda kilikuwa asilimia 77% na hivi leo kiwango cha umasikini kimepungua hadi asilimia 30% huu ndio ubora wa Rais ambaye Afrika inaota kuwa nae.

Paul Kagame ni mmoja wa Marais bora kutoka Afrika "one of the best President" na matokeo yanaonekana, ukifika pale Kigali heights unaweza usiamini macho yako na kwa namna fulani unaweza kudhani uko Ulaya,miundombinu bora na usafi,hivi vitakufanya kuwa confused kama uko first world country,kwa speed waliyonayo nchi ya Rwanda sio muda mrefu Rwanda ikawa katika standard za nchi nyingi za ulaya,na unaporudi Tanzania inabidi ucheke tuu,

Maana Tanzania ni nchi kubwa yenye idadi ya watu milioni sitini na utajiri mkubwa wa rasilimali,udongo wenye rutuba,Mlima Kilimanjaro,Mbuga ishirini za Wanyama ikiongozwa na Serengeti,Dhahabu,Almasi,Tanzanite na zaidi ya yote tuna Bandari kubwa ya Dar es Salam ambayo inategemewa na Rwanda

Yenyewe,Congo,Zambia,Malawi,Burundi na Zimbabwe,narudia tena Tanzania tungekuwa na Rais Paul Kagame kwa huu utajiri tuliojaariwa na Mwenyezi Mungu,nafikiri tungekuwa tunashindana na South Africa au tumewapita.

Rwanda imefanya mabadiliko ya ajabu na utalii umekuwa kiini cha mabadiliko hayo,Rwanda ikijengwa upya juu ya msingi imara wa kufanya kazi na mafanikio,na kuwezeshwa na dhamira ya kufanikiwa,Rwanda sasa inaongoza katika elimu na wajibu wa mazingira,Mbuga za wanyama zimeundwa ili jamii ziweze kufaidika na uhifadhi na mipango ya kupambana na ujangili imelinda idadi ya masokwe wa kipekee nchini sambamba na kuanzishwa kwa msitu mkubwa zaidi wa mlima unaolindwa Afrika,ipo sherehe kubwa ya kuwapa Sokwe majina,hii ni namna moja ya kivutio cha watalii,Rwanda sasa inakaribisha watalii milioni kwa mwaka na uchumi wake wa utalii unakua,kama utafiti wetu unavyoonyesha,ni hadithi ya kutia moyo ya kupona na mabadiliko,hivi ndivyo utalii unavyoifaidisha Rwanda na kuongeza uchumi wake,kuitoa nchi kwenye umasikini.

Sera nzuri ya kiuchumi ya Rwanda ndio imefanya nchi nyingi za magharibi zimpende Rais Paul Kagame,unajua mzungu anastaajabu na kukupongeza pale unapofanya jambo ambalo yeye alidhani hauwezi kufanya,japo mzungu atakuwa na plan b ya kukufanya ushindwe,Rais Kagame ameruhusu uchumi uwe huria kwa sheria za Rwanda na kuondoa vikwazo kadha wa kadha kwa wafanyabiashara lakini wanalipa kodi inavotakiwa,

Rais Kagame amegeuza kilimo cha kizamani kuwa kilimo chenye tija kwa sasa kwa kutumia ujuzi na elimu yaani knowledge based ecomony ambapo wakulima wanaboresha masoko ya bidhaa za kilimo,kuongeza uthamani kwenye bidhaa zao na hata kununua malighafi na kutengeneza bidhaa zilizoongezwa uthamani kwa nembo ya Rwanda,

Rwanda ya Paul Kagame inatumia uzuri madini yake na Rasilimali yake ndogo waliyobarikiwa na Mungu,ambapo kwa kutumia madini na Rasilimali hiyohiyo Rwanda imeweza kuwekeza kwenye viwanda vikubwa kama kiwanda cha magari ya VW na hata kujenga satelite yake,kwa namna hiyo Rwanda inashikilia njia kuu za uchumi kwa kuhakikisha kwamba wafanyabiashara na makampuni yote yana connection na serikalini,Utegemezi wa Rwanda kwa nchi za magharibi upo katika utulivu wakati wao wakitumia maliasili zao kidogo walizobarikiwa na Mungu kuijenga Rwanda ili ifanane na Ulaya.

Afya nchini Rwanda ni bure na kwa wote,matarajio ya kuishi kwa Rwanda ni makubwa,vifo vingi ni kuanzia miaka 69 na kuendelea,ukosefu wa ajira umepungua,wahenga wanasema ukitaka kuona nyumba ina amani,basi usiku utasikia vitanda vinalia,Rwanda kwa sasa ina amani kwani vizazi vinaongezeka,jana nimesikia

Rwanda wamebadili muda wa kuanza na kumaliza masomo na saa za kazi,kuanzia Januari 01 2023,shule zote zitaanza masomo saa 2:30 asubuhi na kumaliza saa 11 jioni,saa za kazi ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni.hii kuwaongezea muda wa kulala watoto kwani wanaamshwa alfajiri sana na wanasinzia shuleni,na pia ni kuwawezesha wazazi waweze kuwaona watoto wao na kunywa nao chai kabla ya kwenda shule/kazini,naam Rwanda inathamini watu wake,na uzao wake, huku kwetu saa kumi na moja asubuhi utaona viwanafunzi vya Chekechea vinazunguka na bus la shule,nusu yao wakiwa wamelala kwenye seat,malezi yamekuwa ili mradi tu.

-Mkinipa Bandari ya Dar es Salaam nitailisha Afrika.

Utani wa kweli niliosikia ukisemwa na watu waliodai umetoka kwa Rais Mkweli,Paulo Kagame, Nchi yetu ya Tanzania kama ikitumia vyema bandari yetu ya Dar es Salaam ina uwezekano wa kuzalisha asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya Taifa la Tanzania,kwa hivi sasa hatuitumii vizuri ila kuna mtu mmoja mmoja anaitumia vizuri kiasi cha kuwa tajiri na kushangaa kwa nini Tanzania ni nchi masikini!?

Rwanda ametenga mita za mraba 20,000 za bandari kavu,hizi mita za mraba zimekuwa ufuguo wa Rwanda kuingia katika biashara ya Bandari,Dubai,Bandari tatu ziko pamoja zinasafirisha kontena million 22 kwa mwaka,ilihali sisi hapa Tanzania tumezungukwa na nchi nane,na Bandari iko peke yake ya Dae es Salaam,sijataja Tanga,Kigoma na Mtwara lakini tunasafirisha kontena 700,000 tu kwa mwaka,haiingii akilini zaidi kama Rwanda na bandari yao kavu watakuwa wanasafirisha kontena millioni 10 na kuweza kuzalisha asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya taifa lao,itakuwaje kama tukiwapa bandari yetu ya Dar es Salaam!?

-Matumizi na ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam ni mdogo.

Hivi leo hata Somalia wanapeleka kondoo, matikiti maji, vitunguu, nyanya,mchicha, viazi na kila chakula unachokiwaza kikiuzwa Dubai kutokea Somalia,ilihali sisi huu ni msamiati,ukiuliza inakuwaje sisi hatuwezi hili,unapewa jibu la aina yake.“Shida si Watanzania,bali mifumo iliyowekwa na viongozi wenu,kinachotakiwa ni kuwawezesha Watanzania,kuwajengea maghala ya kuhifadhia bidhaa za kilimo karibu na Bandari,kuwaeleza viwango na mbinu bora za kilimo.Je bado bandari yetu ya Dar es Salaam mteja akiwa na kontena lake,hatalazimika kusubiri ‘winch’ ipangue makontena matano kufikia kontena lake la chini au tutakwenda kwenye teknolojia Kontena zitakuwa zinapangwa kwenye chanja (shelves) ambazo ukibonyeza kifungo (button) na kuweka namba ya kontena husika,hata kama litakuwa katikati ya kontena 30,000 litajichomoa na kutoka nje.

-Air Rwanda,The dream of Afrika.

Rais Magufuli alifanya kama Rais Kagame alivyofanya,alinunua ndege kama "National flier" kuitangaza Tanzania kiutalii,utapopanda Air Tanzania,the wings of Kilimanjaro,hautatua tena Nairobi halafu uende Maasai Mara kuona Mlima Kilimanjaro,bali Utatua moja kwa moja Mkoani Kilimanjaro,nchini Tanzania,Tukifikia hapo tayari Rwanda walikuwa na miaka 13 katika hii biashara ya anga,na licha ya kuwa Rwandair imekua haijiendeshi kwa faida lakini

Rais Paul Kagame amekua akisema kua uwepo wa wa shirika hilo lengo kubwa ni kuitangaza nchi yao kimataifa katika utalii na kwa kweli wamefanikiwa,kwa sasa wanajenga airport mpya ya kisasa kabisa,wanarusha ndege zao katika nchi nyingi za Africa magharibi na Africa mashariki na baada ya kupokea hizi Airbus mbili wanaanza kuruka hadi Asia,Europe na Marekani,aada ya miaka michache watakua kama Bole Int'l airport kule Adis au Oliver Tambo ya SA,nimpongeze pia kwa kulinunua lindege likubwa na la kisasa la maonesho Mwaka 2016.ni ndege ya kisasa hasa,Ndege hiyo ilikuwa na thaman ya Bilioni 450 Tsh au USD mil 200.wanasema kwa Afrika ni ndege ya kwanza kwa Ubora,Rwanda ikaingia kwenye ushindani na mashirika makubwa kabisa kama Emirates, British Airways,KLM.Hongera Rais Paul Kagame.

Nimalizie na jiji la kigali,katika mitaa ya jiji la kigali hakuna uchafu,hakuna mifuko meusi ya plastic,hakuna machokoraa,kila mtoto ana Mama na Baba yake,na yatima wasio na ndugu wanalelewa sehemu maalum na wanahudumiwa,hakuna vijizi,vipanya road wala vibaka,waliokuwa na roho ya wizi walikusanywa na kupelekwa "rehabilitation center" kisiwani katikati ya ziwa kivu,hakuna nyumba ya matope wala nyumba ya mabati "slams" Serikali ya Rwanda imepiga marufuku nyumba hizo,Rwanda ni sehemu salama ya kutembelea,hii ndio Kigali ya Rais Paul Kagame,A President with a big brain,In Rwanda they always advocate

We are a smallest Country with biggest brain than any East and Central Africa country,Rwanda ni nchi ndogo yenye watu million 15 tu wenye akili nyingi na kuibadilisha Rwanda kuwa Ulaya.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Nimegundua watanzania wanapenda kutawaliwa kidekteta
 
Huyu ni uzao wa shetani duniani!
Ameua marafiki na washirika wake wa RPF
Ameua maelfu ya watu DRC kwa tamaa ya fedha na madaraka!
Huyu atakufa kwa upanga tu, muda ni mwalimu bora kabisa
 
Ni miongoni mwa nchi masikini duniani.

Alichoweza ni kunyamazisha wahutu na kuvuruga amani DRC.
 
Nitamwona mwenye akili kama atavuna kongo pasipo kuua raia wa kongo, maaa inahitaji akili kufanikisha hilo. Kwa aliyezaliwa na kukulia kambini si rahisi kufikiria nje ya mtutu.
 
Halaf cjui kwanin tz vs rwanda, why not rwanda vs kenya au uganda? Tanzani will be Tz forever. Tutatatua matatizo yetu sio kwa ajili ya kushndana na rwanda.
Kwani huko rwanda tuna wazid vingap mkuu? Je nawao wananyuz kama hizi za kuisifia tz au tukisema wabongo tunashobo sana na vitu vya watu tutakuwa tumekosea?
Zoea tu hizi thread mara Tz vs Rwanda or Tz vs Kenya.
 
Ndikumana pamoja na misifa yote uliyoimwagia Rwanda lkn bado upo unaishi na kula raha katika ardhi tukufu yenye amani na upendo ya Tanzania 🇹🇿 , kama hivyo hivyo ndivyo mbona uendi kwenu Rwanda..!
 
Kibaraka na muuaji wa waafrika wenzake anaitwa mtu mwenye akili
 
Unamwaga madini yote hayo kwa wabongo akili ziko mataconi oooh ngoja wakuzodoe kusema ukweli ukitaka kujua wabongo akili ziko niicho panda daladala au nenda sehemu zenye mikusanyiko wabongo ni Gofumi. Shwaini Shubaaaamiti.
True ting... ukweli mchungu zaidi ya shubiri...
 
Mtu mwenye kichwa kidogo kama cha nyoka hawezi kuwa na akili. Labda alichonacho ni ukatili na uuaji tu
Screenshot_20250305_212233_Google.jpg
 
Aliesoma hadi mwisho anieleze inasemaje huku mwisho mwisho
 
Sasa anakula spana za kutosha, soon atabaki na wachina tu au Russia
 
Back
Top Bottom