Akili ya Rais Kagame

Hapa huwezi pata wale wachambuzi uchwara wa far right wa mutu mrefu. Ungeandika slim kapelekwa India kwa pressure wangejazana kama nzi kuchangia.
 
Rwanda kuna nidhamu ya hali ya juu. Huwezi kukuta mtu anavuta sigara hadharani kama ilivyo Tz licha ya kuwa na sheria inayokataza kufanya hivyo, nimekaa Rwanda sijawahi kusikia kitu kinachoitwa vibaka, Rwanda hakuna makelele kama bongo kuna sheria inazuia hilo na serikali iko strict, suala la usafi Rwanda ni la lazima ukitoka na basi huku sharti mpite Carwash lioshwe kwanza ling'ae ndipo muweze kuruhusiwa kuingia Kigali, suala la kodi Rwanda ni la lazima usishangae ukienda kununua matunda gengeni ukapewa risiti ya EFD, Rwanda mwananchi wa chini( mnyonge) anasikilizwa mno viongozi wanafikika kuelezwa shida na namba zao za simu ziko wazi kwa umma presidaa the late Magufuli alicopy kwa Kagame. In short hiyo nchi iko vizuri sana corruption rate iko chini mno mno hakuna mchezo, Rwanda hakuna machawa kama walivyo akina Mwijaku, Dotto magari,babalevo nk General Kagame hahitaji hayo
 
Yote Uliyoyaandika, hujataja maendelea waliyonayo, Unachotakiwa kujua Rwanda wanaishi chini ya fikra za mtu mmoja.
.
.Rwanda hakuna siasa, kuna serikali tu ikiamriwa leo watu wote walale saa moja usiku wote wanafuata, yaani Maisha ya rwanda hayapishani mbali na ya korea kasikazini, Wanafaidi ni wale wavijijini Wao wanajua Dunia yote ndivyo ilivyo.
 
Nimegundua watanzania wanapenda kutawaliwa kidekteta
 
Huyu ni uzao wa shetani duniani!
Ameua marafiki na washirika wake wa RPF
Ameua maelfu ya watu DRC kwa tamaa ya fedha na madaraka!
Huyu atakufa kwa upanga tu, muda ni mwalimu bora kabisa
 
Ni miongoni mwa nchi masikini duniani.

Alichoweza ni kunyamazisha wahutu na kuvuruga amani DRC.
 
Nitamwona mwenye akili kama atavuna kongo pasipo kuua raia wa kongo, maaa inahitaji akili kufanikisha hilo. Kwa aliyezaliwa na kukulia kambini si rahisi kufikiria nje ya mtutu.
 
Zoea tu hizi thread mara Tz vs Rwanda or Tz vs Kenya.
 
Ndikumana pamoja na misifa yote uliyoimwagia Rwanda lkn bado upo unaishi na kula raha katika ardhi tukufu yenye amani na upendo ya Tanzania 🇹🇿 , kama hivyo hivyo ndivyo mbona uendi kwenu Rwanda..!
 
Kibaraka na muuaji wa waafrika wenzake anaitwa mtu mwenye akili
 
Unamwaga madini yote hayo kwa wabongo akili ziko mataconi oooh ngoja wakuzodoe kusema ukweli ukitaka kujua wabongo akili ziko niicho panda daladala au nenda sehemu zenye mikusanyiko wabongo ni Gofumi. Shwaini Shubaaaamiti.
True ting... ukweli mchungu zaidi ya shubiri...
 
Mtu mwenye kichwa kidogo kama cha nyoka hawezi kuwa na akili. Labda alichonacho ni ukatili na uuaji tu
 
Aliesoma hadi mwisho anieleze inasemaje huku mwisho mwisho
 
Sasa anakula spana za kutosha, soon atabaki na wachina tu au Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…