Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Jana niligombana na wifi/shemeji yenu, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu tu nikachukua nguo zangu,mwishoni nikambeba na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka nae*
*hua sipendagi ujinga, amesahau na yeye pia ni wangu*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili yangu naijua mwenyewe
*hua sipendagi ujinga, amesahau na yeye pia ni wangu*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili yangu naijua mwenyewe