Akili za Hersi

Hao wachezaji watatu hawakwenda kushtaki FIFA, Foseli aliishia kuchangisha watu na hela kaibwenga. Yacouba na Bernard si wabaya ila ni injuries na utoto tundu respectively. Katika soka gamble iko kwenye usajili na sub, mifano iko mingi tu. Mchezaji mmoja anakuwa mtani timu fulani akienda kwingine bonge la flop au mchezaji unayeamini atakupa matokeo unamwingiza sub anakuwa mzururaji uwanjani. Sometimes tuwage wapole.
 
Ngoja mambo yakianza kwenda kombo, hakuna rangi ata acha kuona hii ndio tz. Sisi kusahau mazuri uliyotufanyia mbona fasta tu.😺😺
 
Wakati Mwenyekiti Mangungu anasema kunamipango ya makusudi kuwaumiza wachezaji wao, wenzake wanafikiria jinsi ya kushinda mataji misimu miwili mbele.
 
Njooni saa hii tuongee kilichotokea huko kwenu utopoloni, je tuendelee kuwaamini au Kuna lingine mtakuja nalo, nawasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…