Akili za kike

Ila siku hizi mambo yamechange, ni kama kufanyiana timing hivi, unatongoza leo hujala mzigo kesho unaombwa hela ya kusuka.

Ukichomoa mapenzi yameisha, ukitoa kesho yake unaombwa ya kumtumia mama, mpaka unakuja kishtuka muda umeenda.

Nahisi haya mambo yawe yanaenda mkono kwa mkono.
 
Wanawake wa kibongo maboya tu, wao kwao mapenzi ni opportunity..

Bora niendelee na wazungu wangu tu
 
Quid pro quo
 
Quid pro quo
 
Tafadhali sana usi generalize!
Sema ni hiyo miwanawake ya upande wako walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…