Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Hamna kitu Mpekuzi.mbona duuuh kulikoni tena!!!🙂🙂🙂🙂🙂
Hahahaaa. WalaaaaaaVp Bi Dada limekupata nni_
Nakuona kabisaa ulivyoshtukaHahahaaa. Walaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona kabisaa ulivyoshtuka
Wapi waenda rudi bana🙂🙂🙂[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wacha nikimbie tu maana naona unanibananisha hapa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi waenda rudi bana🙂🙂🙂
Wacha nikimbie tu maana naona unanibananisha hapa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha ha ha hahaaa haaaWacha nikimbie tu maana naona unanibananisha hapa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawaha ha ha hahaaa haaa
haya bana sikubananishi tena rudi baana🙂
Haya naona mpaka mapigo ya moyo yametulia si kwa mbio zilee🙂🙂🙂[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa
Hahaaaaa. Acha tu.Haya naona mpaka mapigo ya moyo yametulia si kwa mbio zilee🙂🙂🙂
Me nakupenda sky !![emoji8] [emoji8]Bujibuji kuna wanaotongoza kwakua mchumba yuko masomoni na anataka pa kujishikizia
Wengine wanatongoza kwakua mke mgonjwa au ana mimba kubwa/mtoto mchanga
Tunauliza ili tuijue nafasi mapema tujipange. Mkitudanganya tunaumia sana.
😀😀Wanawake akili zao bhana
Unamtongoza demu halafu ana kuuliza kama una demu mwingine
hivi uliona wapi mtu anaenda kununua nguo akiwa uchi
Punguza masikhara
Quid pro quoIla siku hizi mambo yamechange, ni kama kufanyiana timing hivi, unatongoza leo hujala mzigo kesho unaombwa hela ya kusuka.
Ukichomoa mapenzi yameisha, ukitoa kesho yake unaombwa ya kumtumia mama, mpaka unakuja kishtuka muda umeenda.
Nahisi haya mambo yawe yanaenda mkono kwa mkono.
Quid pro quoIla siku hizi mambo yamechange, ni kama kufanyiana timing hivi, unatongoza leo hujala mzigo kesho unaombwa hela ya kusuka.
Ukichomoa mapenzi yameisha, ukitoa kesho yake unaombwa ya kumtumia mama, mpaka unakuja kishtuka muda umeenda.
Nahisi haya mambo yawe yanaenda mkono kwa mkono.