Akili za Magufuli: Alidai Mwanza ni Jiji na Dar es Salaam ni Mkoa

Magufuli ni rais aliye shindwa kulinda usalama wa raia wake. Watu wanapigwa risasi mchana kweupe na mpaka leo hakuna aliye kamatwa. Failure.
 
Tanzania ilikuwa inaenda kuwa failure state chini ya magu.

Sugu mbunge wangu aliwahi kusema magufuri anaongoza Kwa mzuka, dah pale bungeni mama jenister mhagama alipambana kumtetea sana.

Kifupi tulikuwa na raisi wa hovyo hakuwa hata na akili.
 

Attachments

  • 1645115069069.jpg
    48.1 KB · Views: 11
Unaandika uharo wa kirofa namna hii alafu ukitoka hapo unaenda kupanda ndege na madaraja ya Magufuli
Unaweza kusikia huyu ni msomi wa chuo kikuu. Na kama akili zenu zipo hivi, bora pesa zangu niongeze kununua ng'ombe kuliko kusomesha ng'ombe.
 
Mbona hakuna ushahidi unaoshabihiana na ulichokiongea?

Tuwekee clip hapa ya hicho unachokishutumu, otherwise Paw afanye kazi yake.
Ushahidi upi kwani wewe ulikuwa hujazaliwa wanakti anayaongea?

Ni kweli alivunja jiji la dar akasrma jiji ni ilala pekee, na kuwa watu wa airport hope kisesa wasivunjiwe kwa kuwa ndo walompa kura nyingi
 
Dikteta wa Ujerumani wakati wa vita ya dunia Hitler yupo ktk vitabu vya historia diniani, hatasahaulika kamwe sawa na magufuli
 
Hapo tulikuwa na hasara tupu
 
Unaandika uharo wa kirofa namna hii alafu ukitoka hapo unaenda kupanda ndege na madaraja ya Magufuli
Magufuli aliiba kwa njia ya kununua ndege we unashangilia kama zuzu
 
Mleta mada kama sio kichaa ni mwendawazimu
 
Mzimu wa Magufuli bado unawatesa
It will take you centuries to get rid of it
 
Yule mrundi Mhamiaji haramu alikuwa sheitwani wa hovyo kabisa, Tunamshukuru Mungu kwa kusitisha uhai wake mapema Ili watanzania wengi wanusurike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…