GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Hiyo dhana ya akili ya maisha na akili ya darasani ilitungwa na watu walioshindwa kwenda / kumaliza / kufaulu shule.
Ni namna tu fulani ya kisaikolojia ya kujifariji.
Maisha ni kila mahali ulipo, iwe shuleni, mtaani, au popote tu.
Kama elimu inasaidia watu kupambana , kutatua, na kukabiliana na changamoto za maisha, sioni ni kwa namna gani kutakuwa na tofauti ya akili ya darasani na akili ya maisha.
Vinginevyo, hii dhana ya akili ya darasani na ya maisha inaweza kuzungumzwa vizuri na wale wanaopata elimu ya makaratasi badala ya maarifa.