Akili za mashabiki wa timu ya Yanga na viongozi wao zinaendana

Akili za mashabiki wa timu ya Yanga na viongozi wao zinaendana

uamuzi wa yanga kumfukuza kaze umefanywa kihuni na kwa mawazo ya wapumbavu watupu
Pressure ya mashabiki wachache ambao waliaminishwa kuwa ubingwa mapema tu.

Lakini Kaze ni kafara, tatizo litaanzia pale Airport
 
Kila nikiwaangalia hawa vidimbwi nawahurumia sana,wako kama misukule vile


FB_IMG_1614932289529.jpg
IMG-20210305-WA0001.jpg
 
Mwalimu Kashasha kaongea ukweli mtupu. Dkt Msola sijui elimu yake inamsaidia nini. Yaani mtu msomi mzima lakini unashindwa kupanga mambo kisomi unaishia kusikiliza maneno ya mashabiki halafu unafukuza kocha unaanza na upya.

Halafu msimu mpya ukianza unaacha wachezaji saba halafu unasajili wapya.
Ni kweli Dkt Msola yupo yupo tu kama msukule, lkn cha pili team haina fedha hivyo imebaki inategemea sana maamuzi ya GSM mwenyekiti amebaki jina ila mwenyekiti mwenye nguvu ni GSM manake ndio mwenye pesa.
 
Back
Top Bottom