Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Angezikwa kesho tar.27/3 ili Leo liwe zoezi la kula tuu. Haiwezekani msiba mkubwa vile watu washindishwe njaa.
In short wananchi tumekwazika na hats mtetezi wetu huko aliko hajafurahia kabsa suala hilo.
In short wananchi tumekwazika na hats mtetezi wetu huko aliko hajafurahia kabsa suala hilo.
Mkuu kulisha watu wotw wale huoni lingekuwa zoezi lingine na lingekuka muda sana na siajabu mpaka saa tatu usiku msiba ungekuwa bado unaendelea.