Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mkuu kulisha watu wotw wale huoni lingekuwa zoezi lingine na lingekuka muda sana na siajabu mpaka saa tatu usiku msiba ungekuwa bado unaendelea.
waache tu ndugu na wew utafiwa unawaacha kapaNdugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Umeshindwa kuelewa kuwa hapo siyo kwenu uswekeni?Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Hiyo familia wachoyo sana.Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza.
Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Vi maji vya maiti kidogo.Alafu msosi wa msibani unakuwa mtamu sana sijajua wapishi wanatumia ufundi gan