Akili za Mkopo

Akili za Mkopo

umefanya vizuri, hata mm nashangaaga mtu asiye na kiwanda anamshauri mwenye kiwanda namna ya kufungua kiwanda...hahahaa!!!. aanze yeye kwanza alafu wengine wafuate
 
Kuna cku nmepanda basi Morogoro kuja Dar, mara jamaa akaibuka anauza vitabu vinahusu kilimo na biashara jamaa ameandika mwenyewe, nkamuuliza ushawah kulima? Ushawah kufanya biashara?

akaanza ooh ndio nmetoka chuo cjawah nimefanya tu research, nkamuambia haya poa
 
*Maisha sio poa kabisa Jamaa yangu amemaliza kuandika kitabu kuhusu mbinu za kupata pesa. Sasa anatafuta pesa kwa ajili ya kuchapisha kitabu hicho.*

*Ameniomba pesa nimemwambia asome kitabu alichoandika.*

```Akili za Mkopo```
😀😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom