Itashindwaje na wakati sisi hyo hela tumeamua tuipeleke kw elimu[emoji23][emoji23]
Elimu ni mhimu sana katika nchi, kwhyo usitegemee tuwekeze hela ndogo ki hvo
Capitalist lazima akope
Au wewe ni wale benki una milioni halafu unataka kuanza biashara ya laki saba, kwhyo hela yote utaenda kuitoa kutoka kw account yako kisa una million benki[emoji23][emoji23]