Akili za Wachezaji wa Tanzania ziliwaza Game ya Simba na Yanga Tarehe 19

Akili za Wachezaji wa Tanzania ziliwaza Game ya Simba na Yanga Tarehe 19

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sina chakuwadai wachezaji, wamepambana kwa jitihada kubwa iliifika muda wame choka kupita kiasi Quality imeamua Matokeo ya mchezo.
Congo wametuzidi , tumefanya tulichoweza.
 
Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi.

Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga.

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Wana Bahati kufungwa bao 2 tu.
Kwanza bodi ya ligi ina hila sana kupanga mechi ya derby mara tu baada ya mechi za timu ya taifa.
Lakini timezidiwa uwezo na wacongo lazima hili tulikubali.
Mwisho kocha ninaona hafai kuwepo kwani mimi ungeniuliza ni sababu zipi za kutomuita Simon Msuva ningekwambia hakuna.


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha kuiwaza 19 Octoba wala nn, Tz hakuna timu mana muda wote n siasa tuu na nimefurahi sana tulivyolambwa
 
Back
Top Bottom