Na we mchambuzi mpya. DR Congo wametuzidi wako mbali huko. Kocha uwezo wake mdogo kabisaa, sijui wanashauriana nini pale benchi. Mzize, Kibu, Samata wamechoka ile mbaya ila kocha hajielewi, hawezi hata kufanya sub. Hii timu tuwarudishie makocha wa nje tu.Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi.
Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga.
Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
Wana Bahati kufungwa bao 2 tu.