Akili za Wachezaji wa Tanzania ziliwaza Game ya Simba na Yanga Tarehe 19

Na we mchambuzi mpya. DR Congo wametuzidi wako mbali huko. Kocha uwezo wake mdogo kabisaa, sijui wanashauriana nini pale benchi. Mzize, Kibu, Samata wamechoka ile mbaya ila kocha hajielewi, hawezi hata kufanya sub. Hii timu tuwarudishie makocha wa nje tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…