MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 135
Njiwa anatosheka na Jike moja kama uliwai kufuga njiwa Tena wanahoana kabisaaUlishawahi kuona kiumbe gani kinacho tosheka na jike moja?
Wewe ni mfugaji. lakini kwanini unafunga majike mengi kuliko madume?
Yote juu ya yote wanaume ni asili yetu
Neno kuridhika linamaana kubwa sana. Usikute uridhiki ww ndio inasema wanaume wengine hawaridhiki.Siku zote mwanaune hawezi kuridhika na mwanamke mmoja. Yaani hata ikitokea mwanaume akawekewa wanawake 10 Achague mmoja mzuriii kuliko wote amchukue bado mwanaume atajilaumu kwa wale wengine aliowaacha.
Hivi kwa nini wanaume Haturidhiki...
Dah..kweli bana,...Kuna aina nyingi za wanaume.....wa Dar...wa mkoa...suruali...nk...Siyo wrote in baadhi!
Labda wewe tamaa zako tuu mbona wengine wametuliaSiku zote mwanaune hawezi kuridhika na mwanamke mmoja. Yaani hata ikitokea mwanaume akawekewa wanawake 10 Achague mmoja mzuriii kuliko wote amchukue bado mwanaume atajilaumu kwa wale wengine aliowaacha.
Hivi kwa nini wanaume Haturidhiki...
Hiyo ndoa wanafungia bomani?Njiwa anatosheka na Jike moja kama uliwai kufuga njiwa Tena wanahoana kabisaa
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]Hiyo ndoa wanafungia bomani?
Huna lolote weweLabda wewe tamaa zako tuu mbona wengine wametulia
Sawa umeshinda weweHuna lolote wewe
Ha ha jibu zuri sanaMungu aliumba Adam na Hawa, sio Adam na Huyu, always remember that