Akili za wanaume

Akili za wanaume

MKALI W MAMBO

Senior Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
190
Reaction score
135
Siku zote mwanaune hawezi kuridhika na mwanamke mmoja. Yaani hata ikitokea mwanaume akawekewa wanawake 10 Achague mmoja mzuriii kuliko wote amchukue bado mwanaume atajilaumu kwa wale wengine aliowaacha.

Hivi kwa nini wanaume Haturidhiki...
 
Najua wajua ila unataka kujua zaidi
 
Ulishawahi kuona kiumbe gani kinacho tosheka na jike moja?
Wewe ni mfugaji. lakini kwanini unafunga majike mengi kuliko madume?
Yote juu ya yote wanaume ni asili yetu
 
Njiwa anatosheka na Jike moja kama uliwai kufuga njiwa Tena wanahoana kabisaa
 
Siku zote mwanaune hawezi kuridhika na mwanamke mmoja. Yaani hata ikitokea mwanaume akawekewa wanawake 10 Achague mmoja mzuriii kuliko wote amchukue bado mwanaume atajilaumu kwa wale wengine aliowaacha.

Hivi kwa nini wanaume Haturidhiki...
Neno kuridhika linamaana kubwa sana. Usikute uridhiki ww ndio inasema wanaume wengine hawaridhiki.
Kuridhika ni state of mind. Ukiamua kutulia na mmoja unatulia nae.
Ukiamua kutokutulia basi itakuwa hivyo.

Ila si wote
 
Mungu aliumba Adam na Hawa, sio Adam na Huyu, always remember that
 
Siku zote mwanaune hawezi kuridhika na mwanamke mmoja. Yaani hata ikitokea mwanaume akawekewa wanawake 10 Achague mmoja mzuriii kuliko wote amchukue bado mwanaume atajilaumu kwa wale wengine aliowaacha.

Hivi kwa nini wanaume Haturidhiki...
Labda wewe tamaa zako tuu mbona wengine wametulia
 
Back
Top Bottom