chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea.
Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna TV,hapo kuna king’amuzi,hapo hapo gari anayotumia kumfikisha ni mengine ni vya hawa watu.
Uwongo wao ni ukoje.
Mi navyo fahamu hivi vyote tunavyo tumia uwanza kwa ufikiri na kutengeneza mawazo na mawazo yanapo kuwepo uwekwa kwa watu ili waweze kuungana kufanikisha.
Kama mawazo yangekuwa yanatokea afrika kwa mtindo huu wa kuanza na Neno Uongo basi tungeishia hapa.