HIcho kichwa cha Post yako kinaonesha mshangao, nani aliyeyasema hayo unayoyashangaa? Nikusaidie tu kujibu mfananisho, wanachadema na wazulu wanazipenda nchi zao, wanauchungu wa Uhuru wao hivyo hawapendi dhuluma, mauaji na wizi kama unaofanywa na wanaccm, wanataka Haki sawa kwa wananchi wote.