Akimaliza mara moja hawezi tena mpaka kesho jioni

Akimaliza mara moja hawezi tena mpaka kesho jioni

Akimaliza kulima jembe halilimi tena mpk lipoe kwanza 24hrs kabanga
 
Last edited by a moderator:
kweli utuzima dawa na uzee wote bado tu unahitaji service charges
 
inawezekana pia hisia zmepungua kwa mwenzako!! inabd kuanza tena kutoka out wk ends na cku nyingine mbadilishe mazingira , sio kila siku mlale nyumbani kwenu!
 
Ale maparachich 2 asubuh 2 mchana 2 usiku mfululizo kama wiki 2 then 2peane matokeo
 
Nenda kariakoo mnunulie mkuyati, angalia tu asing'oe kizazi eti ohh!

We carol ...unasema!!!!
Mshauri afanye mazoezi mengi pia ale vyakula vya asili...watu wanaogopa kununua mihogo mibichi njiani eti wa kijijini...sisi twaila sana na kunako shughuli 100% hadi jasho latutoka ati!!! Kuleni vyakula vya asili na mazoezi pia..achaneni na chips mayai na kuku wa kienyeji...
 
Atakuwa na Upungufu wa nguvu za kiume hebu tembelea hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html ili uweze kumsaidia matatizo yake.

Badala ya kumshauri afanye mazoezi haswa kukimbia na apate lishe nzuri ya vyakula haswa vya kutia nguvu mwilini iliaondokane na hilo tatizo we unmwambia akatumie dawa. Vijijini watu hawatumii dawa na mzigo wanapiga hadi mwanamke anaridhika mwenyewe mijini digitali na magali yenu kisa kuna madawa ya kuongeza nguvu.
 
Ukaenda kulinolea wapi? Na hiyo miezi 4 magugu ulimuachia nani afyeke ama uling'oa na mikono?
mambo ya mjini bwana! yanashangaza sana....hilo la kulalamika! kuna mwaka kaka Jerrymsigwa jembe langu liligoma miezi 4....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom