Akimaliza mara moja hawezi tena mpaka kesho jioni

Akimaliza mara moja hawezi tena mpaka kesho jioni

Badala ya kumshauri afanye mazoezi haswa kukimbia na apate lishe nzuri ya vyakula haswa vya kutia nguvu mwilini iliaondokane na hilo tatizo we unmwambia akatumie dawa. Vijijini watu hawatumii dawa na mzigo wanapiga hadi mwanamke anaridhika mwenyewe mijini digitali na magali yenu kisa kuna madawa ya kuongeza nguvu.
Atapata wapi kula vyakula vya lishe ya kuongeza nguvu za kiume? Wewe unamjuwa anakula kwa siku mara ngapi? Karibu Asilimia 88% ya Wa- Tanzania wanakula kwa siku mara 2 je nikimwambia ale vyakula vya kuongeza nguvu za kiume atapata wapi pesa za kununuwa hivyo vyakula? Je wewe unakula kwa siku mara ngapi?
 
mambo ya mjini bwana! yanashangaza sana....hilo la kulalamika! kuna mwaka kaka Jerrymsigwa jembe langu liligoma miezi 4....

So ulifanyeje mkuu? Au lilitumika udongo wenye mawe likaumizwa? Dah miez4 mingi hasa km shamba limezoea kutifuliwa..kulima upya ni kazi
 
Last edited by a moderator:
Atapata wapi kula vyakula vya lishe ya kuongeza nguvu za kiume? Wewe unamjuwa anakula kwa siku mara ngapi? Karibu Asilimia 88% ya Wa- Tanzania wanakula kwa siku mara 2 je nikimwambia ale vyakula vya kuongeza nguvu za kiume atapata wapi pesa za kununuwa hivyo vyakula? Je wewe unakula kwa siku mara ngapi?

Ulishasikia maskini amekosa nguvu za kiume?(sababu ni 1 tu wanakula vyakula vya asili) kama mtu anaenda kula baga, chips, kunywa pombe. kwanini asikose nguvu za kiume. We jiulize kwanini haya matatizo ya watu kukosa nguvu za kiume ni sugu mijini? Na watu wenye pesa ndiyo wanaongoza kwa kusumbuliwa na tatizo hili.
 
sasa kama had kesho means leo atakuwa kafanya saa ngap?
 
Back
Top Bottom