watu mmedata humu ndani! nimecheka kwa sauti kha! asugulie humohumo ndani kwani steel wire hiyo ndani ya sufuria, kha! haya bwana!
anadai kuwa yeye huwa anapokuwa kwenye mechi huwa anachelewa sana kufika kileleni kitu kinachomfanya mke wake amalize kiu yake kabla ya yeye hajafika na akisha-climax tu hataki tena mechi,mpaka zipite siku mbili au tatu
Jamaa yangu kanilalamikia anadai kuwa yeye huwa anapokuwa kwenye mechi huwa anachelewa sana kufika kileleni kitu kinachomfanya mke wake amalize kiu yake kabla ya yeye hajafika na akisha-climax tu hataki tena mechi,mpaka zipite siku mbili au tatu kiasi cha kwamba imefikia jamaa kuamua kujichua ili kukata kiu yake maana anogopa kwenda nje ya ndoa anaweza akaliokota gonjwa,hebu nipeni maujuzi hapa jamaa yangu atumie mikakati gani walau awe anatoa droo kama sio kuwahi kabla mkewe hajafika mwisho.
buguruni ngoja wenyewe waje utaisoma namba, tatizo ni kwamba wachaga mliwafundisha sasa ndio wanawatoa knockout. chezeya mchaga weye. wavaa shanga na wakata viuno wazuri wakati wa game ni wanawake wa kichaga bado wanajua kubembeleza usipime.
ishu ni kwamba huyu mama haju wajibu wake kwa mumewe, na wala hayuko cooperative katika kutumika. Narudia kauli yangu niliyowahi kusema hapa kwamba ni vizuri wakati wa mchezo kila mtu akakubali mwili wake utumike kumpa raha mwingine. Sasa ukona mama mnyimi ina maana yeye hayuko tayari na nimchoyo wa kuutoa mwili wake utumike kumpa raha mumewe. stephot mwambie huyo mwanao wa kindoa, aseme na mkewe juu ya kukubali kuutumia mwili wake kumparaha mwenzie na amweleze kiuhalisia kuwa anatamani kuona anapata raha kutoka kwa yeye mkewe.
pia napata picha kuwa ni mwanamke mwenye gubu huyo.
Mhhhhh! Kumbe eeh!!! :behindsofa:
utasutwa kama bishanga shauri yako sasa wajificha nyuma ya sofa kwanin?
sasa shida iko wapi au ndio umbeya huu unakusumbua?
mweke mkao ambao utakufanya ukojoe haraka,yani mwananmke kama si mtundu wewe unatakiwa uwe mtundu asilimia 200% ili mpaka mziki auelewe!
mpige za fasta faster kama mikao nane tafauti na ...............
nina usongo wa kukusaidia ushauri ila jf hapatoshi