buguruni ngoja wenyewe waje utaisoma namba, tatizo ni kwamba wachaga mliwafundisha sasa ndio wanawatoa knockout. chezeya mchaga weye. wavaa shanga na wakata viuno wazuri wakati wa game ni wanawake wa kichaga bado wanajua kubembeleza usipime.
ishu ni kwamba huyu mama haju wajibu wake kwa mumewe, na wala hayuko cooperative katika kutumika. Narudia kauli yangu niliyowahi kusema hapa kwamba ni vizuri wakati wa mchezo kila mtu akakubali mwili wake utumike kumpa raha mwingine. Sasa ukona mama mnyimi ina maana yeye hayuko tayari na nimchoyo wa kuutoa mwili wake utumike kumpa raha mumewe.
stephot mwambie huyo mwanao wa kindoa, aseme na mkewe juu ya kukubali kuutumia mwili wake kumparaha mwenzie na amweleze kiuhalisia kuwa anatamani kuona anapata raha kutoka kwa yeye mkewe.
pia napata picha kuwa ni mwanamke mwenye gubu huyo.