Akimwona baba yupo na mama faragha..

Akimwona baba yupo na mama faragha..

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
Mara nyingi kwenye familia zetu unakuta baba na mama wanaendelea kulala na mtoto chumba kimoja hata akifikisha age ya miaka 2!je, usiku inapotokea mtoto kashtuka usingizini akaona baba anafanya tendo la ndoa na mama, hii ni sawa/haki?

NOTE: Kuna jamaa alikuwa anampa mtoto vidonge vya pilton ili alale usingizi mzito, na tendo la ndoa lipate kuchukua nafasi yake!je hii ni sawa/haki?
 
huyo jamaa bogas,watoto wa siku hizi ie kizazi cha dot com wakifikisha mwaka m1 na nusu asilale na wazazi
 
mmmmmh!kama ana chumba kimoja cha kupanga inakuwaje hapo jameni?
 
anampa mtoto piriton akiwa addicted?
 
amlaze chumba chengine.

aweke na zile baby monitors .......mtoto akilia chumba cha pili, asikie sauti chumbani kwake.

akiwa hawezi kumlaza chumba chengine usiku mzima, amuondoe wakati huo tu.
 
Wakafanyie bafuni huko wanakoenda kuoga kwani lazima kufanyia tendo la ndoa chumbani:becky::becky::becky:
 
hahahahaahhahahaha!!!!!!
wap roy kijogoo wap finest?
mwshowe mtawapa heroine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
achen izo mambo mbona uswaqhilini kuna vyumba baraza mpk 50 kwa mwezi jaman?
msifanye ivo ......fanyen mpango wa vyumba viwili ...............dah pilton kwa iyo wenyewe mna...........kimya kmyaaaaaaaaaaaaaaaaa hakuna kaukelele ata kiduchu.....hahaahahah raha tupuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
 
Weekend ulikuwa una du the nid ful na nani? Nimekutafuta kweli namba yako ilikuwa haipatikani
 
jamaa ana adabu kabisa, kama nyumbani hawezi kwa nini wasiende guest? kula tunda sio lazima usiku, sio lazima kitandani na wala sio lazima nyumbani, na wala sio lazima chumbani
 
Guest kama ni gharama:

  • Afanyie bafuni akienda koga
  • Afanye usiku wa manane
  • Wikiendi mchana mtoto apelekwe kwa shangazi, nyumbani kazi moja
 
kazi kweli kwel,inayofana na hiyo,jamaa kalala na mtoto wa mwaka moja,na mwingine mwenye miaka mitatu alikuwa amelazwa kwenye kitanda kidogo ndani ya chumba hicho kimoja. Mara sarakasi zikaanza mara wakamwangusha mtoto chini,wakasimamisha zoezi wakambembeleza mtoto ili alale,alipolala tu kazi ikaanza,kumbe mtoto mkubwa alikuwa anaangalia tangu sarakasi ya kwanza.alipoona wameanza tena akamwita mdogo wake fulani njoo huku wameanza tena!wazazi wakamshtuka sana.hii ya kweli kabisa.KAZI KWENU WAZAZI USISUBIRI YAKUKUTE
 
:laugh::laugh::laugh::laugh:You made my day bro,sijacheka toka asubuhi hii yako kali.
 
kazi kweli kwel,inayofana na hiyo,jamaa kalala na mtoto wa mwaka moja,na mwingine mwenye miaka mitatu alikuwa amelazwa kwenye kitanda kidogo ndani ya chumba hicho kimoja. Mara sarakasi zikaanza mara wakamwangusha mtoto chini,wakasimamisha zoezi wakambembeleza mtoto ili alale,alipolala tu kazi ikaanza,kumbe mtoto mkubwa alikuwa anaangalia tangu sarakasi ya kwanza.alipoona wameanza tena akamwita mdogo wake fulani njoo huku wameanza tena!wazazi wakamshtuka sana.hii ya kweli kabisa.KAZI KWENU WAZAZI USISUBIRI YAKUKUTE
Nimecheka sana lakini nikajiuliza hao wazazi walikuwa mataahira au wazima wa akili,,duh!kituko kweli
 
ndo tumsaidie sasa,ili asimpe mtoto piriton na yeye aendelee kula tunda, je afanyaje?

tunda la mchana tamu wewe!, unampa mtoto pesa ya ashiki rim mbili, (ya rafiki inclusive)
 
amlaze chumba chengine.

Aweke na zile baby monitors .......mtoto akilia chumba cha pili, asikie sauti chumbani kwake.

Akiwa hawezi kumlaza chumba chengine usiku mzima, amuondoe wakati huo tu.

duh baby monitors huku kwetu uswazi >>> battery ya tochi issue umeme ndoto, sasa baby monita si ndio cinema kabisa
 
Wakafanyie bafuni huko wanakoenda kuoga kwani lazima kufanyia tendo la ndoa chumbani:becky::becky::becky:

hapo umejibu kimasaki aka kizungu,hivi unayajua mabafu ya nyumba za kupanga za uswahilini ww.ukiingia kuoga humo ukitoka unajisikia kinyaa sembese kwenda ku-do ze nid ful.
sio wote wana mabafu unayowazia dear finest.
 
Mara nyingi kwenye familia zetu unakuta baba na mama wanaendelea kulala na mtoto chumba kimoja hata akifikisha age ya miaka 2!je, usiku inapotokea mtoto kashtuka usingizini akaona baba anafanya tendo la ndoa na mama, hii ni sawa/haki?

NOTE: Kuna jamaa alikuwa anampa mtoto vidonge vya pilton ili alale usingizi mzito, na tendo la ndoa lipate kuchukua nafasi yake!je hii ni sawa/haki?

hiyo siyo sawa ni hatari na ujinga juu.
kuna wengine wanawapa watoto pombe ili walale,kazi kweli kweli.
kwa kweli kama wana uwezo wa chumba kimoja tu lazíma tendo la ndoa wasilifaidi ili kumlinda mtoto,najaribu kufikiria suluhisho nakosa jibu.
 
Back
Top Bottom