mmmmmh!kama ana chumba kimoja cha kupanga inakuwaje hapo jameni?
hahahahaahhahahaha!!!!!!
wap roy kijogoo wap finest?
mwshowe mtawapa heroine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
achen izo mambo mbona uswaqhilini kuna vyumba baraza mpk 50 kwa mwezi jaman?
msifanye ivo ......fanyen mpango wa vyumba viwili ...............dah pilton kwa iyo wenyewe mna...........kimya kmyaaaaaaaaaaaaaaaaa hakuna kaukelele ata kiduchu.....hahaahahah raha tupuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
Guest kama ni gharama:
- Afanyie bafuni akienda koga
- Afanye usiku wa manane
- Wikiendi mchana mtoto apelekwe kwa shangazi, nyumbani kazi moja
kazi kweli kwel,inayofana na hiyo,jamaa kalala na mtoto wa mwaka moja,na mwingine mwenye miaka mitatu alikuwa amelazwa kwenye kitanda kidogo ndani ya chumba hicho kimoja. Mara sarakasi zikaanza mara wakamwangusha mtoto chini,wakasimamisha zoezi wakambembeleza mtoto ili alale,alipolala tu kazi ikaanza,kumbe mtoto mkubwa alikuwa anaangalia tangu sarakasi ya kwanza.alipoona wameanza tena akamwita mdogo wake fulani njoo huku wameanza tena!wazazi wakamshtuka sana.hii ya kweli kabisa.KAZI KWENU WAZAZI USISUBIRI YAKUKUTE
Nimecheka sana lakini nikajiuliza hao wazazi walikuwa mataahira au wazima wa akili,,duh!kituko kwelikazi kweli kwel,inayofana na hiyo,jamaa kalala na mtoto wa mwaka moja,na mwingine mwenye miaka mitatu alikuwa amelazwa kwenye kitanda kidogo ndani ya chumba hicho kimoja. Mara sarakasi zikaanza mara wakamwangusha mtoto chini,wakasimamisha zoezi wakambembeleza mtoto ili alale,alipolala tu kazi ikaanza,kumbe mtoto mkubwa alikuwa anaangalia tangu sarakasi ya kwanza.alipoona wameanza tena akamwita mdogo wake fulani njoo huku wameanza tena!wazazi wakamshtuka sana.hii ya kweli kabisa.KAZI KWENU WAZAZI USISUBIRI YAKUKUTE
ndo tumsaidie sasa,ili asimpe mtoto piriton na yeye aendelee kula tunda, je afanyaje?
amlaze chumba chengine.
Aweke na zile baby monitors .......mtoto akilia chumba cha pili, asikie sauti chumbani kwake.
Akiwa hawezi kumlaza chumba chengine usiku mzima, amuondoe wakati huo tu.
Wakafanyie bafuni huko wanakoenda kuoga kwani lazima kufanyia tendo la ndoa chumbani:becky::becky::becky:
Mara nyingi kwenye familia zetu unakuta baba na mama wanaendelea kulala na mtoto chumba kimoja hata akifikisha age ya miaka 2!je, usiku inapotokea mtoto kashtuka usingizini akaona baba anafanya tendo la ndoa na mama, hii ni sawa/haki?
NOTE: Kuna jamaa alikuwa anampa mtoto vidonge vya pilton ili alale usingizi mzito, na tendo la ndoa lipate kuchukua nafasi yake!je hii ni sawa/haki?