Akimwona baba yupo na mama faragha..

Akimwona baba yupo na mama faragha..

hiyo siyo sawa ni hatari na ujinga juu.
kuna wengine wanawapa watoto pombe ili walale,kazi kweli kweli.
kwa kweli kama wana uwezo wa chumba kimoja tu lazíma tendo la ndoa wasilifaidi ili kumlinda mtoto,najaribu kufikiria suluhisho nakosa jibu.

Kumpatia mtoto dawa za aina yoyote hata pombe ni jambo baya sana. Hata hivyo tukubali kuwa kuna watu wana mitihani katika maisha yao. Na hapo tunaongelea watoto wa miaka 3, je wanaoishi na watoto wakubwa zaidi ya miaka 10?

Ni vizuri kuacha mambo ya kuhamishia mazingira yetu kwa wengine. Jambo la msingi tukubali tu kwamba kuna watu kwao kila kitu ni shida; hata starehe waliyopewa na Mwenyezi Mungu wanaipata kwa kuibia!
 
wengine wanawaombea kulala kwa wapangaji wenye nafasi hasa vijana ambao hawajaoa/olewa n alike lkn bado sio dawa coz mtoto wako anapaswa alale mahala unapoweza kucontrol kuwa usiku utaisha akiwa salama,ndo maana watoto wa uswahilini asilimia kubwa(labda sio wote) wana tabia chafu kweli kweli,ni sbb ya mazingira kama haya.
mi nilishaona kitoto kikihadithia jinsi mama yake anavyokata mauno na jinsi baba na mama yake wanavyolia wakipigana kitandani,sooo bad!but ni umaskini wetu.
 
tunda la mchana tamu wewe!, unampa mtoto pesa ya ashiki rim mbili, (ya rafiki inclusive)

sasa mkuu, muda mwingi wa mchana si unakuwa upo kazini!at least usiku ndo watu wote wapo nyumbani!
 
wengine wanawaombea kulala kwa wapangaji wenye nafasi hasa vijana ambao hawajaoa/olewa n alike lkn bado sio dawa coz mtoto wako anapaswa alale mahala unapoweza kucontrol kuwa usiku utaisha akiwa salama,ndo maana watoto wa uswahilini asilimia kubwa(labda sio wote) wana tabia chafu kweli kweli,ni sbb ya mazingira kama haya.
mi nilishaona kitoto kikihadithia jinsi mama yake anavyokata mauno na jinsi baba na mama yake wanavyolia wakipigana kitandani,sooo bad!but ni umaskini wetu.

Hivi Cheusi ingekuwa ni wewe ungekuwa unafanyaje? Unampekeleka mtoto kwa bibi yake au shangazi yake?:becky::becky:
 
Ingia gharama za kulipia geust house kwani mlianzia wapi kulimega tundi :couch2:
 
Guest kama ni gharama:

  • Afanyie bafuni akienda koga
  • Afanye usiku wa manane
  • Wikiendi mchana mtoto apelekwe kwa shangazi, nyumbani kazi moja

Bafu za uswahilini ni za kupanga folen bwana...!
 
Wakafanyie bafuni huko wanakoenda kuoga kwani lazima kufanyia tendo la ndoa chumbani:becky::becky::becky:

jamani wengine mabafu yetu ni ya kuchangia wapangaji wote. Tuangalie mazingira ya wengine jamani. kuna watu tuna chumba kimoja tu na hichohicho ndo sebule. sasa mzee ukitaka kula tunda inakuwaje? tupeane ushauri hapo
 
mh hii ya kumpa mtt piriton ni kali ya mwaka mtt atakuwa teja itakuwaje mpaka kafikia atua hyo ujue mtt mkubwa na ameshastukia dili la baba na mama so anawakomoa kwa kula chabo
 
Hivi Cheusi ingekuwa ni wewe ungekuwa unafanyaje? Unampekeleka mtoto kwa bibi yake au shangazi yake?:becky::becky:

nitakapokua ktk hiyo situation ndio nitakapojua cha kufanya,lkn kwa sasa siwezi hata kuwashauri wafanye nini naona kiza tu.
ninachofanya kwa sasa nikuandaa mazingira ya kutokua ktk hali kama hii siku nitakapoamua kuleta kidz duniani.
 
Kumbe bado haujaamua kuleta kidzz duniani basi tushirikiane wote kuwaleta duniani huo ndio wakati wenyewe
 
nakubali kama utajiuzulu kwa kutangaza adharani kuwa ww sio infii anymore.

Kwani hiyo kazi? Unasimama na kutangaza tu kama chizi. Ila usiombe zipite siku mbili, anayakana yote aliyowahi kuyasema.

Wanaume kwa movie za namna hiyo ni kama kusukuma mlevi!
 
Kwani hiyo kazi? Unasimama na kutangaza tu kama chizi. Ila usiombe zipite siku mbili, anayakana yote aliyowahi kuyasema.

Wanaume kwa movie za namna hiyo ni kama kusukuma mlevi!

DK usiwe na hofu.
mie huyu nakimbizana naye kimyakimya.
ukizingatia ni kingunge mwenye highest rank ktk ISC ndo mana naenda nae mdogo mdogo,
huyu atabadilika gradualy before ur eyes na atakutumia PM akikutaarifu kuwa haelewi cheusi kamfanyaje hadi akaacha u-infii.
tumpe muda ,saa yake ya ukombozi haijawadia.
 
Bora watafute mshiko waende hata guest house ya buku mbili wanakula tunda kwa raha zote. wakirudi home wote wamechoka maana hizi nyumba zetu na mabafu yetu ya uswahilini bora tusiyaongelee hapa.
 
We acha mambo ya chumba kimoja,uswahilini nyumba ya pili wakiwa kwenye shughuli ya usiku wapangaji wote wa nyumba ya jirani wanasikia maana si unajua hakuna ceiling wala madrisha hayana vioo,ila wavu na pazia tu.Utakuta watoto wanakula chabo dirishani kwenye uchochoro wa hizi nyumba.Ukitaka kuona mengi tembelea tandale usiku,jaribu kupita kwenye uchochoro unaotenganisha nyumba na nyumba uone maajabu
 
Tatizo tumezoea kufanya mambo kwa siri sana, tuulize wenzetu waliostaarabika toka zamani. Mapenzi kwa mama, ukiwa kama baba unahitaji yafanyike hata mbele ya watoto. Sisemi tendo la ndoa, ila nazungumzia kiss au hata kukumbatiana. Ikiwa watoto watazoea hivyo na kama unalala na mtoto mdogo akiona usiku baba au mama yuko juu ya kifua cha mama au baba hatashangaa. Ila kulala na watoto chumba kimoja nayo hiyo imepitwa na wakati. Lakini katika hali isiyozuilika inawezekana, hivyo tuzingatie ushauri wa kuwazoeza watoto mapenzi kwa baba au mama. Nawakilisha.
 
Bora watafute mshiko waende hata guest house ya buku mbili wanakula tunda kwa raha zote. wakirudi home wote wamechoka maana hizi nyumba zetu na mabafu yetu ya uswahilini bora tusiyaongelee hapa.

Kwa mtu anayeishi kwa chini ya dola moja kwa siku atapata wape pesa za kwenda Guest? Na ndoa ikibahatika kufikisha miaka 20+ mtaendea guest mara ngapi? Mawazo yako ni ya ku-uzunguni zunguni sana.

We acha mambo ya chumba kimoja,uswahilini nyumba ya pili wakiwa kwenye shughuli ya usiku wapangaji wote wa nyumba ya jirani wanasikia maana si unajua hakuna ceiling wala madrisha hayana vioo,ila wavu na pazia tu.Utakuta watoto wanakula chabo dirishani kwenye uchochoro wa hizi nyumba.Ukitaka kuona mengi tembelea tandale usiku,jaribu kupita kwenye uchochoro unaotenganisha nyumba na nyumba uone maajabu

Kweli ndugu yangu. Kuna watu wanaishi maisha ya shida sana. Tatizo hapa kuna watu hawana hata habari kama hizi au wanasikia kwa mbali na kuziona kama tamthiliya.
 
Back
Top Bottom