MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Sasa vibration kwenye 'kidole kidogo' ataipataje vizuri hasipojibinua?Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.
Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
Kwanza una Elimu gani?maana ulichoandika hapa,tafadhali pereka kule Facebook kwa watoto wwnzioMadada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.
Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
Siku nyingine kaa kwa kunyooka kwenye bodaboda mkuu, Ni muhimu sanaKwanza una Elimu gani?maana ulichoandika hapa,tafadhali pereka kule Facebook kwa watoto wwnzio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tukaeje Msaga sumu?
Maana hizo Boda zenyewe siku hizi ile sehemu ya kukaa abiria ni kama imebinuliwa...
Unapoamua kusahihisha hakikisha na wewe uko sahihi.Kwanza una Elimu gani?maana ulichoandika hapa,tafadhali pereka kule Facebook kwa watoto wwnzio
Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.
Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
Kwanza una Elimu gani?maana ulichoandika hapa,tafadhali pereka kule Facebook kwa watoto wwnzio