Akina dada acheni kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, ni hatari kwa afya

Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.
Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
Sasa vibration kwenye 'kidole kidogo' ataipataje vizuri hasipojibinua?
 
Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.
Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
Kwanza una Elimu gani?maana ulichoandika hapa,tafadhali pereka kule Facebook kwa watoto wwnzio
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tukaeje Msaga sumu?

Maana hizo Boda zenyewe siku hizi ile sehemu ya kukaa abiria ni kama imebinuliwa...
FB_IMG_16573882620533549.jpg

Angalau kidogo hii ina usalama
 
unasumbua minara ya watu line wametoa
 
Hii ni thread kweli?Melo come and pick up ur members
 
Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.

Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.

Kwa hiyo sa ivi anatembeaje[emoji2][emoji2]
 
Kwanza una Elimu gani?maana ulichoandika hapa,tafadhali pereka kule Facebook kwa watoto wwnzio

jf ndio wamejaa watoto wa shule. tweeter wamejaa chadema istagram wamejaa wasanii, mtandao uliobaki mzuri ni face book
 
Back
Top Bottom