Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Sawa Kijana nadhani wamekusikiaYaani unakutana na mtoto mzuriiiiiii !!!!, Halafu unasikia anakusalimia eti "SHIKAMOO ",Shit !!!!!!, Alaaah !!!, Mwingine utamsikia "SHIKAMOO BABA ",Wee Tafadhari, nilikuzaa lini ???, Mbona tunazeeshana Jamani ???!!!!. Salamu nzuri ni "Hbr za saa hizi !!!!! ", au "Mambo Kaka ",Hapo unasikia na Mapigo ya Moyo yanaenda mbio, Jamani Watoto wazuri msitusalimie salamu za kizee na kizamani.Watoto wote wa kike Mamboooo !!!!!. Nimemaliza.
maranyingi ukimuona mtoto wakike rika lako anakusalimia shkamoo ujue anakuanzishia njia ya kuanza kumtongoza maana anajua utaanza kwa kumwambia UNATAKA KUNINYIMA NINI kwa hiyo shkamoo yako........ kwahiyo ukisalimiwa ujue umerahisishiwa kaziiiYaani unakutana na mtoto mzuriiiiiii !!!!, Halafu unasikia anakusalimia eti "SHIKAMOO ",Shit !!!!!!, Alaaah !!!, Mwingine utamsikia "SHIKAMOO BABA ",Wee Tafadhari, nilikuzaa lini ???, Mbona tunazeeshana Jamani ???!!!!. Salamu nzuri ni "Hbr za saa hizi !!!!! ", au "Mambo Kaka ",Hapo unasikia na Mapigo ya Moyo yanaenda mbio, Jamani Watoto wazuri msitusalimie salamu za kizee na kizamani.Watoto wote wa kike Mamboooo !!!!!. Nimemaliza.
Unajinsia gani mara mwanamke mara mwanaumeYaani unakutana na mtoto mzuriiiiiii !!!!, Halafu unasikia anakusalimia eti "SHIKAMOO ",Shit !!!!!!, Alaaah !!!, Mwingine utamsikia "SHIKAMOO BABA ",Wee Tafadhari, nilikuzaa lini ???, Mbona tunazeeshana Jamani ???!!!!. Salamu nzuri ni "Hbr za saa hizi !!!!! ", au "Mambo Kaka ",Hapo unasikia na Mapigo ya Moyo yanaenda mbio, Jamani Watoto wazuri msitusalimie salamu za kizee na kizamani.Watoto wote wa kike Mamboooo !!!!!. Nimemaliza.