Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mtu anakuita au unakutana nae baa anakuambia kwa roho nyeupe agiza bia ili mpige story na kupeana kampani cha ajabu unaanza kunywa kama unamkomoa kisa tu umepata offer ya bure.

Bia moja unapiga fundo tatu umemaliza ili kumkomoa mtu aliyekupa offer. Huu ni ushamba mkubwa sana. Ndio maana watoto wa kihuni huwa wanawaachia manyoya.
 
Fundo tatu bia imeisha ? hiyo itakuwa Savanna au zile castle laiti, siku nyingine agiza chibuku supa uone kana ana jeuri hiyo๐Ÿคฃ
Ahaa, serengeti lite/ Castle lite ndio mapigo yao.
 
Una bahati ,kuna mwingine snapiga chupa Tatu za wine @tsh. 27,000 na kuku mzima tsh 20,000
 
Una bahati ,kuna mwingine anapiga chupa Tatu za wine @tsh. 27,000 na kuku mzima tsh 20,000 na ni mke wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ