BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Tuanzie hapa Offeree
Unataka Offeror atumie muda gani kuimaliza chupa moja ya ml 500?
Unataka Offeror atumie muda gani kuimaliza chupa moja ya ml 500?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli kwanini umpangie mtu idadi ya kinywaji si ulijiamini pindi unamuitaUsipende kutoa offer kama una pesa za mawazo
Hapo ishu sio ulevi, ni ustaarabu wakati wa kunywa, tatizo lenu mnafikiri mnatukomoa kumbe mnajishusha thamani
Ukikutana na wanaopiga Desperado utakimbiaAhaa, serengeti lite/ Castle lite ndio mapigo yao.
Hapo kwenye kuweka limit ndiyo hataki anataka kuonekana jentromen [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukitaka kitoa offer zako uwe unaweka na limitations, akiomba hizo offer mwambie "sawa agiza unavyotaka ila visizidi Tsh kadhaa" au "nakupa offer ya Tsh kadhaa agiza chochote kile" sio unatoatoa tu alaf baadae unakuja kulalamika
Ujentromeni wako ndio kilio chakoHapo kwenye kuweka limit ndiyo hataki anataka kuonekana jentromen [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akome kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli kwanini umpangie mtu idadi ya kinywaji si ulijiamini pindi unamuita
Ushauri mzuriUsipende kutoa offer kama una pesa za mawazo
Naomba nikupe offer nione utakavyo behaveNani anakukomoa?
ulishawahi kunipa offer ??tuanzie hapo
naona unataka kunijumuisha na walevi
NB:wapo wastaarabu lakin bado ni walevi
Cha msingi nikuangalia aina ya unaye mpa offer sio kuokota okota tu