Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

Acha kelele wee mtu, sema tu kuwa huna hela ya ku afford offer huko kweny bar. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Mngekutana tu vichororoni bas.
 
Acha kelele wee mtu, sema tu kuwa huna hela ya ku afford offer huko kweny bar. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Mngekutana tu vichororoni bas.
Hata kama nina gunia la hela ndio unywe bia kama unakimbizwa?!! Kuweni wastaraabu bana
 
Hapa tuna share life experiences ndo maana inaitwa JAMIIFORUMS
Basi mkaage kimya na mvumilie moyoni, sasa kelele za nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnapenda kujionesha mna pesa, kumbe hola mweeeeh.
 
Acha kelele wee mtu, sema tu kuwa huna hela ya ku afford offer huko kweny bar. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Mngekutana tu vichororoni bas.
Kuwa mstarabu unapopewa offer unabugia bia ili kumkomoa nani? Jifunze tabia njema.
 
Basi mkaage kimya na mvumilie moyoni, sasa kelele za nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnapenda kujionesha mna pesa, kumbe hola mweeeeh.
Kwani ukipewa ofa ndio uwe unakunywa harakaharaka ili unywe nyingi? Acha ushamba.
 
Basi mkaage kimya na mvumilie moyoni, sasa kelele za nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnapenda kujionesha mna pesa, kumbe hola mweeeeh.
Napata mashaka na wewe ni mmoja wa hao wadada wanaokunywa utafikiri wapo kwenye mashindano ya olimpic 🤣🤣🤣
 
Kwani ukipewa ofa ndio uwe unakunywa harakaharaka ili unywe nyingi? Acha ushamba.
Mshamba ni wee uliye jifanya una hela kwa kumuita mdada sehemu ya starehe ili akuone bonge la bwana, sasa na yeye alitaka kuthibitisha hilo, kumbe wee ni hola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeh kwa yaliyokukuta, mkutaniage vichochoroni.
 
Napata mashaka na wewe ni mmoja wa hao wadada wanaokunywa utafikiri wapo kwenye mashindano ya olimpic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa pesa ya kulipia tu iwepo.
 
Pesa ninayo ya kutosha, ila tabia kama yako ya kunywa bia kama unakunywa chimpumu ndio sikuiipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…