Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Yaani unakutana na mtoto mzuriiiiiii !!!!, Halafu unasikia anakusalimia eti "SHIKAMOO ",Shit !!!!!!, Alaaah !!!, Mwingine utamsikia "SHIKAMOO BABA ",Wee Tafadhari, nilikuzaa lini ???, Mbona tunazeeshana Jamani ???!!!!. Salamu nzuri ni "Hbr za saa hizi !!!!! ", au "Mambo Kaka ",Hapo unasikia na Mapigo ya Moyo yanaenda mbio, Jamani Watoto wazuri msitusalimie salamu za kizee na kizamani.Watoto wote wa kike Mamboooo !!!!!. Nimemaliza.
Sasa mtu unamiaka arobaini unataka uambiwe mambo na mtoto wa miaka ishirini na umri huo si umri wa mtoto wako...au ndio uzee mwisho chalinze.ha ha haaaaa ujue kuna watu wanaukwepa uzee hatariii.Yaani unakutana na mtoto mzuri, halafu unasikia anakusalimia eti "shikamoo ", shit!, Alaaah!, Mwingine utamsikia "shikamoo baba ".
Wee tafadhali, nilikuzaa lini? Mbona tunazeeshana jamani?. Salamu nzuri ni "habari za saa hizi! ", au "mambo kaka ".
Hapo unasikia na mapigo ya moyo yanaenda mbio, jamani watoto wazuri msitusalimie salamu za kizee na kizamani.Watoto wote wa kike mambo.
Nimemaliza.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] ,kwanini Mkuu.Mkuu inaonekana una sura kama ya haraka haraka
Dada agata Edward, hapo mnakuwa mnatukosea haki kabisa.Ukishafikisha 35+ Na mavyakula yetu ya kuafrika sura lazima ishuke aijalishi ujinsia yako..so kubali kupokea salamu hiyo.
Mmmhhhh !!!!!. tena ???.Fataki katika ubora wako
Mnazeeshwa wakati mmeshazeeka....Wanatuzeesha na kutuweza!!
Kuna my x namzidi miaka kama 4 tu ananiamkia shikamoo wakati nimemvua pichu for 4 years consecutively, sijui sababu kaolewa?Umri kama umesonga umesonga tu we pokea hizo shikamoo sababu wapo wanawake wanamaadili hawajui kumpa mtu mzima mambo lazima shikamoo ichukue nafasi yake.
Hivyo ukisalimiwa itikia na kama unataka mambo mengine jipange tu.
Mambo kakaYaani unakutana na mtoto mzuri, halafu unasikia anakusalimia eti "shikamoo ", shit!, Alaaah!, Mwingine utamsikia "shikamoo baba ".
Wee tafadhali, nilikuzaa lini? Mbona tunazeeshana jamani?. Salamu nzuri ni "habari za saa hizi! ", au "mambo kaka ".
Hapo unasikia na mapigo ya moyo yanaenda mbio, jamani watoto wazuri msitusalimie salamu za kizee na kizamani.Watoto wote wa kike mambo.
Nimemaliza.
Ng'ombe hazeeki maini.Mnazeeshwa wakati mmeshazeeka....
Mmmhhh !!!!, Kweli ???. Basi mlijitahidi.Kuna my x namzidi miaka kama 4 tu ananiamkia shikamoo wakati nimemvua pichu for 4 years consecutively, sijui sababu kaolewa?
Kisanga kingine.
Enzi hizo tunaishi kwa baba, mimi na ndugu yangu tukapanga geto mtaa wa tatu ili kufanyia mambo ya siri huko. Baba mwenye nyumba ana kitoto kizuri kinaibukiaibukia, miaka 16/7 hivi body morphology a.k.a structure inavutia akawa anatumwagia shikamoo kaka nyiingi. Tukawazaa huyu tumnyamazishe vipi!!
Tukaanza kumwangalia rangi anazopenda, kumbe anaipenda rangi ya yeboyebo fastaa tukaingia dukani tukanunua pichu kadhaa za njano. Ilikuwa siku kama 2 baada ya birthday yake tukafunga vizuuri, tukampa na maneno kadhaa you know sikuwepo kwenye birthday yako lakini zawadi yako hii hapa....., nduuuki home tukasubiri kesi ya kumceduce dent, ikawa kimya. Kumbe kafuraahi mpaka mwisho.
Basi ikawa hivyo, basi tu busara ziliturudi, hatukutenda tulichokusudia.
Poooaaa !!!, dah !!, ninafurahi thanaaa. [emoji106] [emoji106] .Mambo kaka