Akina dada kuweni makini na wamasai wanapo wasuka

Akina dada kuweni makini na wamasai wanapo wasuka

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Unakuta wamasai pale llala wameshambulia kichwa cha dada/mama huku wakimgeuza kila pande wakikishambulia, lakini si mnajua macho hayana pazia sasa nikagundua wamasai wanacheza kamchezo kamoja kachafu sana kuwasogeza dada zetu kwenye nyeti zao mmmmh agggrrrrrrrrrr yule dada aliye kuwa akisukwa angekuwa na sweetheart wallah wale wamasai wangekiona cha moto.
Lakini nilivyo peleka baada hii kwa walengwa wanadai tena wamasai hao hao wanalazimisha hadi kuomba namba za cmu kwa ajili ya kazi ya usiku wanadai unaweza ukawa umepumnzika na Mr. nyumbani yeye akakupigia wkt mlisha malizana ukiuliza masai unashida gani usiku anasema anataka ile kitu inamesa mwenzie akina dada kuweni makini.
 
Kama dada ndo umempa namba ya cmu ndo balaa usumbufu na wanalazimisha ile kitu inayo mesa mwenzie.
 
Wananishinda kutema tema mate huku unasukwa
 
:A S 20::laugh::laugh::laugh:Hebu nijuzeni wajameni, hiyo kitu inayomesa nyenzio ni kitu gani hasa?????????????????????????????:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Kabla wamasai hawajaanza kuwa wasusi, hawa dada zetu walikua bora wasimame kwenye daladala kuliko kukaa siti moja na mmasai eti walikua wanasema wamasai wanatoa harufu mbaya, sasa leo hii unamkuta mdada amebananishwa kichwa chake katikati ya mapaja ya mmasai. Au siku izi hawatoi harufu mbaya kama ilivyokua awali???
 
Back
Top Bottom