Akina Dada na haya Madera mnayovaa siku hizi

Akina Dada na haya Madera mnayovaa siku hizi

Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani

Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.

Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.

Sasa swali.

Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?

Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.

Kwakweli hili lijadiliwe hapa.

Nia yenu ni nini hasa!??
Mkuu, ule msamiati wa "kuporomoka kwa maadili" hiyo ni sehemu tu ya huo msamiati wenyewe, kila kitu tunakipokea tu kama kilivyo, navyojua nguo kazi yake ya kwanza ni kuficha "uchi" ila sasa hivi uchi unawekwa nje nje ndo kupendeza huko, zamani ilikua mtu anapekua chupi ili alione tako sasa hivi inabidi upekue tako ili uione chupi! mambo yameharibika sana na wametuzoesha na kutupa usugu hatushituki tena kama zamani ukiona mstari wa chupi tu tayari ishakua tatizo sasa hvi kawaida tu...
 
Uongo dhambi raha ya Dela matako/ shandundu /furushi la mavi.. Ila kwa mademu wenye vijiskonz au flat wakivaa madela Kama yametundikwa full kupepea na upepo ila kwa mademu waliojaliwa matako oya!!! Lazima udis..e
 
Kama ni hivyo unavosema basi ukipeleka madela Kilimanjaro ni sawa na kuwakosea wabunge kwa kuwaita "Dhaifu"?
 
Kama ni hivyo unavosema basi ukipeleka madela Kilimanjaro ni sawa na kuwakosea wabunge kwa kuwaita "Dhaifu"?
Hahaa. Kwel kabisa mkuu wenzetu kule wamejaliwa sura nzur ila nyuma flat kama uwanja wa soka kwa kwel kama ndio hivyo si badili kauli nasimamia hilo kama Mzee Assad ktk ile kauli yao
 
Hivi madera yanashonywa kutoka kwenye material gani? Ni kitambaa cha aina gani?

Huwezi ku import hicho kitambaa ukashona madera mwenyewe ukauza?
 
Yani unachokisema ndo nakiona hapa nimekaa nakula pemben kuna zigo limeinama hatari sana.
 
Back
Top Bottom