Akina dada punguzeni kujirahisisha


Hii ni zaidi ya kawaida nusu ya wanaume ukumbi mzima?🙁🙁
 
Haya ma kitu MUNGU angeyawekea counter meter tuu Kama vile kilometa za gari nani atakuoa unamakilometer mengi ukioa kigori unaikuta kitu zéro kabsa
 
Na design hizo ukimuuliza kabla ya mimi ulishakuwa na wangapi, utasikia wewe wa pili baada ya boyfriend wangu wa kwanza aliyenitoa bikra. Kumbe uchi unajua tupu nyingi kuliko hata idadi za haja ndogo alizokwenda ukubwani kwake.
Aiss
 
Ebu tupe historia yako ya kujitunza
 
Umesema Vizuri KIPAPA CHAKE. Na Wewe FUNGA MDOMO WAKO....
 
nyie ndo wakwanza kupeana ushaur
alaf ndo wakwanza kufanya hayo hayo
ww unae toa ushauri hakuna mwanaume anae jua uchi wako!!??????
 
Mbona hata ww sio bikra!! Washakufunua funua na kuchenjua makinikia yote, sema mpunguze tu sio muache, mkiacha MTAKULA WAPI..

-Mond-
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha eti Tuliza Kipapa Chako, watu mna misemo duh
 
nyie ndo wakwanza kupeana ushaur
alaf ndo wakwanza kufanya hayo hayo
ww unae toa ushauri hakuna mwanaume anae jua uchi wako!!??????
yupo..ni ex na ex wangu wanaujua..
sio mtaa mzima
kuna tatizo?
umeielewa mada lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…