Akina Dada unalalaje??

Akina Dada unalalaje??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jamani kulala ni amani na ni pumzisho la mwili na ukiwa umelala saa nyingine hutaki kitu kikuguse na hasa hii uendana na mazingira husika!Mara nyingi wanawake wana milalo tofauti na wanaume labda kwakuwa wao uwajibika zaidi au ndo mungu alivyo waumba,na zaidi mwanamke akilala dizaini yake huwa nikichocheo kwa mpenzi wake na hasa akija akakuta amelala kwa style yake!Sasa kwakuwa akina dada ndo uvutia kwa milalo ya uchokozi na humu kwenye hili jukwaa letu maridhawa ningewaomba wote mtwambie kwakila aliyehamasika na uzi huu je huwa anajitupa vipi??nayenyewe itakuzidishia marafiki hapa kwenye jukwaa la mmu!
 
sijibu sababu umesema mlalo huo utaniongezea marafiki hapa mmu.

Anyway, nalalia kichwa.
 
Akina dada mpo wapi? Tunawasubiri tafadhali. Ikiwezekana wengine wekeni na picha kabisa.
 
Jamani kulala ni amani na ni pumzisho la mwili na ukiwa umelala saa nyingine hutaki kitu kikuguse na hasa hii uendana na mazingira husika!Mara nyingi wanawake wana milalo tofauti na wanaume labda kwakuwa wao uwajibika zaidi au ndo mungu alivyo waumba,na zaidi mwanamke akilala dizaini yake huwa nikichocheo kwa mpenzi wake na hasa akija akakuta amelala kwa style yake!Sasa kwakuwa akina dada ndo uvutia kwa milalo ya uchokozi na humu kwenye hili jukwaa letu maridhawa ningewaomba wote mtwambie kwakila aliyehamasika na uzi huu je huwa anajitupa vipi??nayenyewe itakuzidishia marafiki hapa kwenye jukwaa la mmu
!
Subiri Lizzy aje utapata jibu zuri tu!
 
mimi si nina wezere kubwa la ukwee, ivo basi napenda kulala kifudifudi afu ilo wezere linakuwa juu!!
afu na kanga moko, mmh lazima ukaee.
 
Wengi wanalala fetal position ili kibindankoe kionekane...
 
sina mlalo maalum, mie najibwaga kitandani,usingizi utakavyonichukua ndo hvyo hivyo
 
Nalala nnavyolala, ukitaka kujua ni vipi inabidi upige chabo.
 
Back
Top Bottom