Akina Dada unalalaje??

Akina Dada unalalaje??

He he he, umepatia
nafunga na zile pingu za saint ivuga nyekundu miguuni afu naning'inia kwenye kenchi za nyumba.
Kichwa kinagusa kitanda.

Ile kesi bora ujisalimishe tu.

Wewe ni popo, swali halikuhusu! Wameulizwa WADADA!
Ntakusaka leo tumalize ile kesi yetu.
 
Mie na kilo 91, hizo ME na KE hazifiki hata nusu kilo lakini zawaumiza kichwa.

Deal na hizi kilo 90 achana na hako ka kilo 1 hakana hata maana.

ila kongosho bwana, haeleweki kama ni ME au KE coz anajichanganya kotekote.
 
Nalala kifudi fudi. Wadada wote mnashauriwa kulala kifudifudi/kulalia tumbo.
 
Milalo yote inalalika kwangu, chali, kifudi fudi, upande mradi usingizi uje. Kuna shida?
 
Mie nalala tumbo juu halafu miguu nakunja kidogo kama 'v' vile huku nimezibent kidogo kuelekea kushoto na kulia huku nikiacha kadirisha kadogo ka upepo kwa mbali na mikono nimeegea kama mto vile u knw.... And thn nakua kama nimelegea vile u knw....and sometimes i cal wth a low voice babyeee u see...and thn mh... I move my hand slowly....
 
mimi si nina wezere kubwa la ukwee, ivo basi napenda kulala kifudifudi afu ilo wezere linakuwa juu!!
afu na kanga moko, mmh lazima ukaee.


aisee kama unawezere halafu unalala kifudifudi basi utakuwa unapendeza sana, maana hilo wezere linapokuwa kifudifudi linaonekana kama vilele viwili vya kibo na mawenzi kwenye mlima beautiful wa kilimanjaro. nimekupenda sana pamoja na style yako ya kulala...!!
 
nina wasiwasi na hizi point nzuuri za ulalaji kama zimetoka kwa wadada....nahisi ME wanajaribu kuandika vile wanyopenda wadada walale...lmao!!
 
Back
Top Bottom