Akina Dada wa kibongo Acheni Hizo.

Akina Dada wa kibongo Acheni Hizo.

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Mimi huwa nafawanyia research hawa viumbe kwenye mitandao mbalimbali ya urafiki na uchumba.

Mwanzoni tunachati fresh tu, linapokuja swala la kutaja sehemu nilipo, ndo hapo ninapowachezeaga akili hawa dada zetu.

Mara nyingi nikiwaambia niko mamtoni nachukua nondoz au napiga mgalala/box, basi maongozi yanakwenda vizuri mpaka kufikia mikakati ya kupanga engejimenti na harusi.

Asilimia kubwa pia huendelea kuchati nami, iwapo nitawaambia niko Dar, na niko kwenye ofisi flan kubwa hapa mjini.

Usilongwe ukawaambia ukweli hawa viumbe, kuwa uko Tandahimba,Ukwale au mikoani huko hasa ya pembezoni, hupotea ghafla na namba za simu hubadilishwa.

Hivi nyie akina dada, fedha na kazi ni kitu gani hasa mpaka mvipapatikie kiasi hicho?

Hivi huwezi ukaanza maisha na mwenza wako kwa kulalia mkeka kwanza?

Hamuoni fahari kuanza maisha from the grass root na mwenza wako?

Hivi mke wa Obama alijua mmewe atakua rais, ndo akamkubali fasta?
 
pia na wewe una tatizo kwa nini usiseme ukweli toka mwanzo sio wote ambao utakaposema ukweli watakukimbia
 
Ivi mke wa Obama alijua mmewe atakua rais, ndo akamkubali fasta?

Na wa kaka hivo hivyo.

Hata hapa JF atakuuliza hivi upo wapi Dada, ukisema ukweli kwamba Upo Tanzania Shinyanga, ndo utakuwa umeua mawasiliano Hupati tena cha PM, thanks wala nini. Ila ukisema upo nje ya nchi hasa US na Europe hapo kitaeleweka, na kwa Tanzania at leaaaaaaast Dar, nje ya Dar forget it.

So its not abt Wadada peke yao, na Wakaka mna/wana tatizo hilo.

Kabla sijasahau....Happy New year 2010.
 
Endelea na strategy hiyohiyo eventually utampata ambaye hayo yote hana na ukipata tu usijivunge maana akina dada wengi siku hizi[hata wazazi] wako materialistic wanataka mwenye nazo na siyo kuanza na mwenza halafu kufanikiwa mkiwa pamoja
 
pia na wewe una tatizo kwa nini usiseme ukweli toka mwanzo sio wote ambao utakaposema ukweli watakukimbia

Amesema anafanya research...............

Au labda na wadada wanafanya research kujua kama wakaka wanasema ukweli wa makazi yao!

Kaazi kweli kweli.
 
Na wa kaka hivo hivyo.

Hata hapa JF atakuuliza hivi upo wapi Dada, ukisema ukweli kwamba Upo Tanzania Shinyanga, ndo utakuwa umeua mawasiliano Hupati tena cha PM, thanks wala nini. Ila ukisema upo nje ya nchi hasa US na Europe hapo kitaeleweka, na kwa Tanzania at leaaaaaaast Dar, nje ya Dar forget it.

So its not abt Wadada peke yao, na Wakaka mna/wana tatizo hilo.

Kabla sijasahau....Happy New year 2010.

Ze semu tu yu.
Hiyo ya shinyanga imenikumbusha kitu,kuna mmoja mwezi uliopita alinikimbia baada ya kumwambia niko Shinyanga,, isije ikawa ni ww Lizy!!
Kwa asilimia kubwa ni wanawake, sisi labda tu ukiwa na intension ya kutafuta sugar mamy.
 
kwa kweli sioni tatizo kwani kasema alikuwa kwenye reasearch sasa utajuaje na hao wadada nao walikuwa kwenye reasearh hapo ngoma droo akuna cha wasichana wala wavulana wote wasanii tu wote wanapenda pesa so let be true here.
 
Ahahhaa-Happy new year wana JF!!!

I like funny stories like this.
 
Na wa kaka hivo hivyo.

Hata hapa JF atakuuliza hivi upo wapi Dada, ukisema ukweli kwamba Upo Tanzania Shinyanga, ndo utakuwa umeua mawasiliano Hupati tena cha PM, thanks wala nini. Ila ukisema upo nje ya nchi hasa US na Europe hapo kitaeleweka, na kwa Tanzania at leaaaaaaast Dar, nje ya Dar forget it.

So its not abt Wadada peke yao, na Wakaka mna/wana tatizo hilo.

Kabla sijasahau....Happy New year 2010.
Lizy,

kumbe some PMs na thanks zinatolewa kwa misingi ya itikadi eeh?
 
dah, hata mi nimeshangaa, kumbe kuna za kimapenzi mapenzi! huu ulimwengu kuna watu wanaishi kama wako kwen utopia!

ndo maana tunawapa 5 watoto wa uswazi! hawana makuu
 
Ze semu tu yu.
Hiyo ya shinyanga imenikumbusha kitu,kuna mmoja mwezi uliopita alinikimbia baada ya kumwambia niko Shinyanga,, isije ikawa ni ww Lizy!!
Kwa asilimia kubwa ni wanawake, sisi labda tu ukiwa na intension ya kutafuta sugar mamy.

hapo kwenye red!, Siyo mimi KakaJambazi. Ningekutafuta ndugu yangu, as long as kutafutana kwenyewe kungekuwa kwa wema.

Vipi nikutafute weekend hii tufungue mwaka? Ooops....nimesahau kumbe 'ulidanganya upo Shinyanga'.

Week end njema
 
hapo kaka ngoma droo, umeuza cheni ya bandia na umelipwa fedha za bandia!!! wee mwenyewe unadanganya na we pia lazima udanganywe!!!

mwosha huoshwa!!!
 
heheheh toa kitu upate kitu sio B?🙄
 
heheheh toa kitu upate kitu sio B?🙄

teh teh!!! B ukweli no huo!!! ila nikifikiri sana, bora kudanganya tu maaana hata ukipenda kwa dhat you end up being hurt aaaah shwaini!!!
 
Yaani nakupa na senksi ya huku, maumivu yao ni magumu mno kumeza, aaaaai!!!!!!!
 
very true na mi nakugongea!!! hawa viumbe wa Mungu ni ngumu kuwaelewa. naona wao ndo wanapenda zaidi mapenzi ya kudanganywa!!! aki at times siwalaumu wanawake wanaowafix mamen!!! ukichunguza wengi wao walishaumizwaga sasa wanaona liwalo na liwe!!!
 
hapo kwenye red!, Siyo mimi KakaJambazi. Ningekutafuta ndugu yangu, as long as kutafutana kwenyewe kungekuwa kwa wema.

Vipi nikutafute weekend hii tufungue mwaka? Ooops....nimesahau kumbe 'ulidanganya upo Shinyanga'.

Week end njema

Mi nilikua nakutest kwanza Lizy,nione ka unafaa kwa matumizi ya binadamu.
Uliposepa nikajua ni wale wale.
 
Kuna movie moja ya kinaijeria inaitwa "Disguise" i wish wakina dada wengi wangekua wameiona, angalau wangeambulia chochote.
 
na wakaka nao waangalie ipi?? ujue hapo pande zote mbili zinahusika!!!
 
Back
Top Bottom