Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Nimekutana naye huko badoo akanipa namba basi nikaingia m-pesa kujua jina basi lahaula ni jina la mama mmoja ninayemfahamu.
Alipokuja nikambana akasema akitumia namba hiyo hawezi kufahamika kupitia mitandao kwasababu mama yake hatumii instagram, facebook, twitter nk
Kwamba anaogopa akitumia namba yenye jina lake ni rahisi kufahamika kwasababu majina hayo tayari yapo social media mbalimbali zikiwemo zile za kuheshimika kama LinkedIn.