Sidhani kama umefikiria kabla ya kuandika. Kufahamu jina kamili la mtu ambaye aliwahi kuwa jirani yetu ni jambo la ajabu?
Vipi una stress za madeni au familia? Mbona unaniletea mapovu bila sababu?si jambo la ajabu kabisa,hasa kama hujajifunza jambo lolote kuhusu heshima na adabu kwa watu.
mnaomjua mama wa binti ni nyinyi mliokua naye,sisi wengine wala haina shida tutajua ndiye binti mwenyewe.
Vipi una stress za madeni au familia? Mbona unaniletea mapovu bila sababu?